View attachment 2260938ongeza mchuzi wa chukuchuku hiyo kuku tumwagie hapo juu mammy
PoleNahisi nilizidisha moto wa chini. Maana ilitoka chini imeungua kama mkaa 🤣. Ila juu Sasa nzurii. Hadi birthday ya mwanangu ikaharibika, Kwa kujifanya ujuaji. Ningeenda nunua hata yasingenitokea 😅🙆
Cookery ya mchongo🤣Dada wewe utakua umesoma cookery sio bure![]()
asente ntakutaarifu nkishiba km sijazimika
Mchina hafai
Safi Kiongozi
Kumbe hata ukizidisha blueband inatoka vibaya eehPole
Baadaye utaweza.
Mimi siku ya kwanza kupika nilizidisha blueband..nilichochea ile keki usiku kucha ,,ikawa inachemka tu kama chemchemi.

Bora itoke vibaya angalau unaionaKumbe hata ukizidisha blueband inatoka vibaya eeh
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app


Ohoo basi itakuwa nami nilizidisha piaBora itoke vibaya angalau unaiona
Ukizidisha blue band inachemka kama mafuta.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
. Maana ilikuwa yachemka kwa juu hatariKeki ni vipimo usizidishe wala kupunguza na ata ukiipiga sana au ukatumia mayai ya baridi napo tegemea kutoka vibayaKumbe hata ukizidisha blueband inatoka vibaya eeh
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
ndioZa Maji
Ukiona tu haikaziki ujue blueband imezidi.Ohoo basi itakuwa nami nilizidisha pia. Maana ilikuwa yachemka kwa juu hatari
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app