Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,773
- 40,444
Dah alibariki we mbaaayaaa
Dah alibariki we mbaaayaaa
Karibu Gomz, mi naingia jikoni mwenyeweDah alibariki we mbaaayaaa
Me mwenyewe mbona nipo goms, viunga vya kota za jeshi mpya.
Kanikosha sana ndo mambo yangu hayo, afu napenda weekend nakaa mwenyewe jikon.
Tobaa, huko sitaki hata kukusikia mie,Me mwenyewe mbona nipo goms, viunga vya kota za jeshi mpya.
Nunua sufuria nzuri bas...dah!![]()
Tanga rahaa
Hiyo ya urithi katumia Bibi mpaka mjukuuNunua sufuria nzuri bas...dah!
na vitukuu watatumia pia
Majamaa mnapenda kula nyie balaa
Majamaa mnapenda kula nyie balaa
Homemade hiyo Mzee BabaHatari sana, hivi home made au hotelini?