Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,015
- 828,774
- Thread starter
- #181
Hiyo nyama mbona mbichi?Ile tulipokuwa honeymoon Hawaii umesahau!? View attachment 572683
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenifikisha nyumbani hapo uwono pembeni. Chai ya Kidigo hiyo
Za kushushia nikiwa naangalia movies. Niko vzr sana![]()
Hapana mkuu, ni kawaida yangu jioni huwa napendelea zaidi matunda, na huwa sikosi aina tatu hadi nne.
Uyu demu mzuri angelikuwa bongo angekuwa wa bongo movie na queen social media wa bongo ...