HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,704
- 48,140
Mambo ya Egusi bila shaka
Mambo ya Egusi bila shaka
Yaaap + spinach +eggplantMambo ya Egusi bila shaka
Hapa ndo penyewe
Harufu eee nalazimika kula daku mkuu si kwa shatashata hili
hawajaiva hao,hujapitisha kwenye oven salmonela itakuhusu