Oooh lizzy niongezee.nyama.na.pilau

Hiyo ipo utaikutaSio mirinda nyeusi ya baridiiiii
View attachment 2119223
mapishi bachelor boy, ugali wa dona una udaga(unga wa muhogo) mahindi yasiyokobolewa na ngano isiyokobolewa + maini rosti![]()
Ilo swali hua naulizwa sana ila kuoa muhimu japo niponipo kwanza, mke wangu atafaidi sana nitakua namsaidia kupika😊Khaaa mwanaume una roast hivyo utaoa kweli?
Nakulaga ila sizipendi sanaMnakulaga njugu?View attachment 2118044
Dagaa Mchele hiyoHarufu hii senene, dagaa au uduvi mate yanani mwagika kwa uroho!