Aisee vinaendana hivyo vitu
Daaah!! Sijui watu wanapata wapi nguvu na mawazo ya kuwa vegetariansmkuje na ugali/ndizi/chipsView attachment 2046101
Daaah!! Sijui watu wanapata wapi nguvu na mawazo ya kuwa vegetarians


TasiAnaitwa nani huyu Samaki?
Ahsante sana Kiongozi.
Maharage yameungwa uzuri, kwa kweli umenitamanisha Wali na Maharage.