HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,704
- 48,140
Ugali mdogo sana Dina
Ugali mdogo sana Dina
Ni mkubwa mboga nyingi sanaUgali mdogo sana Dina
Hupati notification jamaniVyakula Bahari vinanibamba mno
Aisee! Nimekumbuka mashairi ya wimbo mmoja wa Khadija Kopa, unaitwa "Utalijua jiji". Kuna mashairi yanasema "Ninampa maandazi na chai ya tangawizi"


















Sipati picha output yake huu msosi hasa kwenye ile "gesi"
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃♀️
Unataka kula marotarota tu sio?Studio nitoe mimi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃♀️
Naona mboga tu bila ugali .Unataka kula marotarota tu sio?
Huu Mlo matata sana, kwa jinsi nilivyoutamani!
Mchemsho huu