Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Jamani Dina hizo nyama unazokula mlo mmoja nyumbani kwangu nakula siku tatu
Mbona sio nyingi
Au una familia kubwa ,ukiwa na familia kubwa changamoto kidogo
Hii ni juzii na kama una familia huwezi kula siku tatu bana

A73E35C6-4895-410D-8ABD-9D1A2C950AE6.jpeg
 
Sasa si unaona..hii si nusu kabisa hii jamani. Halafu anakuja Behaviourist na mabango yake ya vitamin kutuhubiria. Sie wengine tunakula kushiba tu jamani mambo ya vitamin tunawaachieni ninyi
Hapo kuna vitamini kweli 😂😂😂
Mim mwenyewe nakula kushiba tu mi napenda kuku jamani na samaki
Ila siku hizi samaki zimakataa kwenye koo

B00488F0-DBA9-4A94-8800-1F22C15A1A77.jpeg
 
Mie mwenzenu sijui kupika chapati za kusukuma mpaka leo ila za kumimina nimo tu Evelyn Salt mwenzangu ushajua ??? Au ndio mikate ya yesu
Za hivi ukiniambia napika tu haraka au kalimati lakin vitu vya kukanda na kusukuma aiseee

View attachment 2040411

View attachment 2040415
Mimi aliyenifundisha kutumia samli ndio alimaliza kila kitu. Za kumimina mimi mwenyewe sijui halafu sio mpenzi ila hizi zako zimenivutiaa
 
Back
Top Bottom