Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Puree
Screenshot_20211210-122813.jpg
 
Oyeeeeee. Mafia tena jamani? . Nipo huku ile kesho nakuja mjini. Natumaini hautafichwa

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
uneza kuwa ulikwenda kusherekea miaka 60 alafu hukurudi hivi ningekuwa nafichwa tungeweza kula bata namna ile tulivyoo kaa wiki? ; siku hizi niko huru japo huamini.
We njoo utanikuta nimekaa tele
 
Back
Top Bottom