...
Usiku wa manane
Nilikuwa na hamu ya kupika chapati View attachment 2008390View attachment 2008391View attachment 2008392View attachment 2008393View attachment 2008394





Vitu vyangu hivi navimis kweli,hapo ningeongezea na maharagwe kidogo




Bado upo Njombe nije kudowea
Mshana niite basi nami nitakuitikia
Very delicious 😋
Dah,hizi lugha hizi!eti muhogo wa nyama. I love muhogo wa nyamaView attachment 2008168