Dah asee msiwe mnabadili ID bana mnatuchanganya wadau 😂😂Hapo kwenye bold ndio mimi huyo chief!
![]()
Thank you, and karibu nilikubakizia😜Very delicious 😋
Wow, ungechanganya humo? Mimi niliongezea parachichi, nimenjoy mnooVitu vyangu hivi navimis kweli,hapo ningeongezea na maharagwe kidogo![]()
Sasa nilikuwa nisemejee?Dah,hizi lugha hizi!eti muhogo wa nyama

Ningechanganya humohumo na nyanya chungu kidogo OMG its amazingWow, ungechanganya humo? Mimi niliongezea parachichi, nimenjoy mnoo






Hivi kisamvu na pilau huwa vinanoga?