dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,409
- 19,429
Hahah!! Kama kawaidaKwenye kitengo chako
Hahah!! Kama kawaidaKwenye kitengo chako
Sio nazi tu, hadi pilipili umeionaWe mwanaume na nazi juu
Zimefunikwa na ubwabwa huoni zinachungulia kwa mbaliWakunyumba nyama ziko wapi
Hahah!! Kama kawaida
Sio nazi tu, hadi pilipili umeiona
Nimeziona kwa mbaliZimefunikwa na ubwabwa huoni zinachungulia kwa mbali
Damu ya mbuzi iliyoivishwa kwa pilipili na viungoKichiri ndo nini?
Nauona mchemsho hpa wa chati.Karibuni cha usiku View attachment 873616
Nauona mchemsho hpa wa chati.
Huyo samaki nimemwonea huruma jinsi alivyo poseKaribuni cha usiku View attachment 873616
Njoo umuokoe basHuyo samaki nimemwonea huruma jinsi alivyo pose
Saizi usiku uokoaji umesitishwa mpaka kesho asubuhiNjoo umuokoe bas
Saizi usiku uokoaji umesitishwa mpaka kesho asubuhi
Naona umevamia uzi wa misosi..unapikaga lakini shunie??Nimeziona kwa mbali
Napika handsome nitakukaribisha siku mojaNaona umevamia uzi wa misosi..unapikaga lakini shunie??
Poa nitashukuru sana kula pishi lako mrembo..Napika handsome nitakukaribisha siku moja
HahahhaPoa nitashukuru sana kula pishi lako mrembo..