binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 13,116
- 34,423
Asante sana.Huu ni mchemsho tu. Nyama unaunga km kawaida na thomu na tangawizi, binzar kdg na pilipili washa kdg.
Chemsha ikikaribia kuwiva kiasi weka kitunguu maji kiasi na ndimu.
Hio km brown ni mama sitas source unaweza kuweka kdg ukipenda. So yummy![]()
