Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,297
- 21,699
Buku 6.Njegere, Samaki.
Jamani.
![]()
Tunachanga wawili Buku tatu tatu lunch. Kwa wanawake tu.... Lol
Buku 6.Njegere, Samaki.
Jamani.
![]()
Pilau la mbeya la jana hilo. Na paste ya kutolea.
Mie I don't like pilau na kachumbari View attachment 1981061View attachment 1981062




nibkishie najaAmen auntieMimi kuna point inafika siwezi kula kumaliza hata iweje.
Nikijilazimisha ntarudisha chenji.
Sijui hata nitenenepa vipiMungu aingilie kati

Nimeanza kumeza vitamin B complex..yaani kila baada ya nusu saa njaa inaniuma.Amen auntie![]()
Pilau la mbeya la jana hilo. Na paste ya kutolea.
Mie I don't like pilau na kachumbari View attachment 1981061View attachment 1981062

Haya maharage kwa kuyaona tu ni matamu
Mmmmh em ngj nije tuongee vzrNimeanza kumeza vitamin B complex..yaani kila baada ya nusu saa njaa inaniuma.
Nadhani hizi dawa ni nzuri hasa kwa wavivu wa kula kama Mimi.
Sawa AuntieMmmmh em ngj nije tuongee vzr

Cha asiliNimetamani, ongeza Ugali tafadhali.
![]()