ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,118
- 5,368
Ukipata blender ukawa unatengeneza kitu fresh itakuwa vizuri zaidi
Ukipata blender ukawa unatengeneza kitu fresh itakuwa vizuri zaidi
Daah miss Mungu anakuona ujue
Ni kweli kabsa boss wangu..!!Ukipata blender ukawa unatengeneza kitu fresh itakuwa vizuri zaidi
Kwani huko kwenu wenzetu kila siku sikukuu



Kwani huko kwenu wenzetu kila siku sikukuu![]()




madogo hukuona ugali maharage wiki yote hiiNa kweliSpesho oda ya Jr.. . Loh![]()
Hahahaaa tayarwasha Bluetooth
Sawa bossSubiri muamalau utasoma muda si mfupi![]()
Kwa kweli sukuona mamdogo mi naona kila siku waleta vitu vitamu vitamu tumadogo hukuona ugali maharage wiki yote hii
Bas wewe ukiona post ya ugali maharage unaipita ndo maana hujaonaKwa kweli sukuona mamdogo mi naona kila siku waleta vitu vitamu vitamu tu

