Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

MXa-9-1.jpg
 
Na maziwa sometimes yawepo hata Kama Ni ya all-muddhish yanapunguza punguza sumu zetu zile za maniaje zetuView attachment 1911480
Kama ni kweli unatafuna hayo madude live huenda wewe ukawa ndiye mtu pekee duniani anaekula vyakula sahihi na bora sana.

Kitu ambacho ni chakula sahihi na bora sana ni kile ambacho siyo tu kwamba ni chakula lakini pia ni dawa kama yalivyo hayo madude.Haya madude ni chakula na hapohapo ni dawa pia.
 
Mkuu mbona me kila siku natafuna nishazoea Tena Kama tangawizi ndo sometimes naiweka mdomoni nainyonya Kama pipi mpk inaisha.iko vzr kwenye utendaji kazi wa misuli ya uume Tumia ndani ya siku moja tu utaona changes Sasa je ukiitumia kwa week
Mshana Jr ongezea nyama kdg
 
Back
Top Bottom