Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,585
- 12,439
Mkuu hicho kitunguu swaumu unatafuna pia???Na maziwa sometimes yawepo hata Kama Ni ya all-muddhish yanapunguza punguza sumu zetu zile za maniaje zetuView attachment 1911480
Mkuu hicho kitunguu swaumu unatafuna pia???Na maziwa sometimes yawepo hata Kama Ni ya all-muddhish yanapunguza punguza sumu zetu zile za maniaje zetuView attachment 1911480
Samaki wa kuchemsha sio
Unataka kama hiki?😄😄😄
Wewe ulivyo mwembamba ukipata kitambi lazima ufananie hivi👇😆😆😆
Mkuu huo mkate ni ule ambao unga wake haukobolewi nije kushiriki?😋😋😋Wenyeji wa huu uzi hamjaamka au? View attachment 1912235View attachment 1912237
Kabisa ni ule na asali kidogo, karibu. Ila uache kutusagia kunguni kule. 😀Mkuu huo mkate ni ule ambao unga wake haukobolewi nije kushiriki?😋😋😋
Hahahaha...