Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,360
Mimi mwenyewe nilishangaa, maana najua wewe una kono sio mkono, lakini hata huo uko vizuri! Una vidimples sipati picha mashavuni!Huo wa dogo![]()
![]()

Mimi mwenyewe nilishangaa, maana najua wewe una kono sio mkono, lakini hata huo uko vizuri! Una vidimples sipati picha mashavuni!Huo wa dogo![]()
![]()

Mhh hii mbona mixer sana mkuuMix ya njugu, ndizi, cucumber, korosho, apple, nazi na maziwa freshafya muhimu wakulungwa!
View attachment 1905926
Ila nimezingua asee njaa sa Nikakuta uji wa mtoto na tundizi sijui ndo ulaji mzuri au mbovu..kmnna tumboView attachment 1906339

Chezea njaa weweNimeyamisije khaaa
😂 😂 😂Dah...si afadhali angemwagika mbebaji
Duh, siachi kitu chini, hebu leteni maji niwaonyeshe... 😂 😂 😂
Mjuba upo real sana!!Samaki matembere mixer ugali humohumo
Me si mjubaView attachment 1907276