Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,517
Astaghafirulillah...Mim kukunwa vizuri nishatosheka bana
Astaghafirulillah...Mim kukunwa vizuri nishatosheka bana
Kaka Awamu hii vyuma vimekazaHahahahah nipo kiongozi, umepotea sana we jamaa...
Hawa mabinti unaniachia peke yangu?
Pamoja sana kiongozi...Kaka Awamu hii vyuma vimekaza
Ujio wa Mbinu Mbadala umeharibu maisha tuliyozoea.
Hatari lakini Salama
Nice to hear from you
Duuh Babu Asprin bado Upo Active
Salute Sana
Nawe bilionea?Kanye West
"I ain't saying she a golddigger,but she ain't going with no broke nigga"
Mie sentionea, halafu unachouza sinunui, hapo vipi?Nawe bilionea?
Siuzi kitu,,nini maana ya sentionea?Mie sentionea, halafu unachouza sinunui, hapo vipi?
Astaghafirullilah....We zile hela za foundation ya Regia Mtema ziko wapi?
Mshikaji bado namdai elfu hamsini....Astaghafirullilah....
Hahahahaa we jamaa noma sana... dahMshikaji bado namdai elfu hamsini....
Hivi ile foundation iliishia wapi?Hahahahaa we jamaa noma sana... dah
Nimecheka balaa...
Hahahaha skujui lkn kwa maelezo yako tuu..Hakuna billionea anaeza kufund such a suicide Mission.!!Vigezo cha kwanza aweze kukukatia tiketi ya ndege kumfata aliko na advance juu akupe,awe na uwezo wa kununua iphone x ikitoka tu akukabidhi tu
Ukimpa tu kimoja milioni 2 isiwe shida kukupa,,
kuka range iwe kama kakupa vitz
Too late son.Tangazo tumeliona
Maendeleo yanapatikana kwa kufanya kazi kwa bidii tu na si vinginevyo, ilo papa ni bonus tu.Mapenzi ya kweli tushafanya sana na hatujaambulia kitu
We ni bilionea au njaa tu?
We kweli Nyani.Hivi ile foundation iliishia wapi?