Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
- Thread starter
- #181
Jf nzia wamejitokeza wawili tu kweli,,ndio uone wanaume wa humu maskini kutwa kujitapa[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi wamejitokeza kweli!!!
Au wako siasani nini???
Jf nzia wamejitokeza wawili tu kweli,,ndio uone wanaume wa humu maskini kutwa kujitapa[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi wamejitokeza kweli!!!
Laki na kuendeleaMatumizi yako kwa siku sh.ngapi?
Yep wengi kelele tu,,ndio maana wanakuja lia lia tu humu kumbe pesa hawanaKabisa
Hawa ambao wakiombwa 20elfu wanakuja kufungua uzi wa masimango!! Umewaonea sana kwa huu uzi mama.Jf nzia wamejitokeza wawili tu kweli,,ndio uone wanaume wa humu maskini kutwa kujitapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Au wako siasani nini???
Haooo haooo,aisee kazi kweli ,,umenichekesha eti wenzetu ahahha una maneno weeeeHawa ambao wakiombwa 20elfu wanakuja kufungua uzi wa masimango!! Umewaonea sana kwa huu uzi mama.
Mabilionea wako busy wanatafuta hela huko. Hawa tunaoshinda nao tukichambana humu ni wenzetu tu.
Nikiongezeka mim je[emoji23][emoji23][emoji23]Laki na kuendelea
Hakuna tatizo, nitaongeza matumiziNikiongezeka mim je[emoji23][emoji23][emoji23]
Sawaa ukujeHakuna tatizo, nitaongeza matumizi
Pamoja!Sawaa ukuje
Mie nasubiri tu mrejesho mama.Haooo haooo,aisee kazi kweli ,,umenichekesha eti wenzetu ahahha una maneno weeee
Wamejitokeza wawili wanaume wa shoka nasubiria matusi yao ntaleta mrejesho
hapa umenisoma tu nataka tudiscuss namna ya kunionaHapana mkuu nilitamani kuwaona tuu sio zaidi, Asante kwa kuja
mabilionea sie tuna vibamia sasa ww umeshazaa naweza nisi enjoy sex halafu hatuna pumz za kukimbizana na watu wazimaHivi mabilionea wa jf mpo wapi hebu jitokezeni mnyakue totozi kali,,tumechoka maskini tunataka tuonje ladha ya mabilionea ipoje
Maana huwa tunaona tu humu kila mwanaime ana pesa,ana gari,msomi,ana kazi nzuri,ana biashara nzuri ana nyumba kali?
Jitokezeni hadharani tuwaheshimu sie hatujali hata pesa zimetokana na ujambazi ,ufisadi pesa tamu haijalish imetoka wapi
Huu uzi uwe special kwa mabilionea ambao hawana mawazo ya pesa ndogo ndogo,,makapuku muende makapuku forum kulee
Maisha ndio haya haya ,wadada wa jf wamechoka kupata makapuku wanataka pelekwa visiwa vya ibiza ,,
Wadada wa jf mje hapa mchague mabilionea mtaniuliza ni vigezo gani gani ili ujue huyu hana pesa za mawazo,,tupo hapa kupata raha maisha mafupi
Pia mtupe mrejesho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ni zamu yetu
Mtakaojileta eti ooh mapenzi ya kweli sijui nin na nini mapenzi yakweli tushayafanya sana tu mpaka tumechoka,
Ni mim mwenyekiti Mama Sabrina
Katibu wangu ni miss chagga
Haya karibuni wenye jeuri zenu
Hehehehe twataka tuone mabilionea mpoo?hata wale Mabilipnea wa Arusha je ?
SawaaNa sisi ma bilionea uchwara vip tunahitajika tujitokeze ??[emoji23][emoji23]
Wee kibamia tulia banamabilionea sie tuna vibamia sasa ww umeshazaa naweza nisi enjoy sex halafu hatuna pumz za kukimbizana na watu wazima
tunatafuta watoto wabich labda uniunganishe na sabrina ila sio ww
HeheheheheheheUnataka watu wakose Uhuru wa kutuma hilo neno na yale yanayoendana na ubilionea sababu ya Uzi huu. Mama Sabrina