Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
- Thread starter
- #221
Hahahaha yaan hadi wewe siaminiii kabisaaa[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Mbio mpka makapuku forum
Hahahaha yaan hadi wewe siaminiii kabisaaa[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Mbio mpka makapuku forum
SawaaaBora uanzishe uzi wa wadaiwa sugu
KabisaaManeno ya makapuku haya[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Itabidi tutafute time machine ili enzi ya JK ijirudie na sie tufaidiPoleni sana mabint wa zama hizi za mkulu, bibi zenu walitesa sana enzi JK.
Weee acha urongoo,,nakutanaga na mdogo wake Rostam wala mtakula mnachotaka na kunywa,na pesa juu anakupa na wala haombi mzigoMabilionea hatupendi sana mabinti wa kulia lia njaa.ukitaka utajirike lazima uwe bahili.kuhonga tunaonga ila kwa target.maana kuna Wanawake ata kama ni njaa hiyo yenu imezidi
Mi nina vijihela sina helaHahahaha yaan hadi wewe siaminiii kabisaaa[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Pesa za kustaafu ushalipwa nije tuoane kabisaaMama Sabrina njoo kwangu nikuoe tuendelee kuchuma uzee!
Mim basi nikionaga jina lako hilp najua una mahelaMi nina vijihela sina hela
Nilikuwa na mahela ila jpm kanitoa nishai nimebaki na vihelaMim basi nikionaga jina lako hilp najua una mahela
Heee sasa humu jf mabilionea hawapo sasa ,,kumbe huwa wana maneno tu eti,,Nilikuwa na mahela ila jpm kanitoa nishai nimebaki na vihela
Hapana twende mkusalmia mjomba Ikulu tutarudi na zawadiItabidi tutafute time machine ili enzi ya JK ijirudie na sie tufaidi
Janja yenu eti mabilionarea wa jf, kumbe mnatafuta mtugande wenye mapesa yetu...!Hivi mabilionea wa jf mpo wapi hebu jitokezeni mnyakue totozi kali,,tumechoka maskini tunataka tuonje ladha ya mabilionea ipoje
Maana huwa tunaona tu humu kila mwanaime ana pesa,ana gari,msomi,ana kazi nzuri,ana biashara nzuri ana nyumba kali?
Jitokezeni hadharani tuwaheshimu sie hatujali hata pesa zimetokana na ujambazi ,ufisadi pesa tamu haijalish imetoka wapi
Huu uzi uwe special kwa mabilionea ambao hawana mawazo ya pesa ndogo ndogo,,makapuku muende makapuku forum kulee
Maisha ndio haya haya ,wadada wa jf wamechoka kupata makapuku wanataka pelekwa visiwa vya ibiza ,,
Wadada wa jf mje hapa mchague mabilionea mtaniuliza ni vigezo gani gani ili ujue huyu hana pesa za mawazo,,tupo hapa kupata raha maisha mafupi
Pia mtupe mrejesho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ni zamu yetu
Mtakaojileta eti ooh mapenzi ya kweli sijui nin na nini mapenzi yakweli tushayafanya sana tu mpaka tumechoka,
Ni mim mwenyekiti Mama Sabrina
Katibu wangu ni miss chagga
Haya karibuni wenye jeuri zenu
Pesa za kustaafu mbona kidogo sana.Pesa za kustaafu ushalipwa nije tuoane kabisaa
Nitakukumbusha nashukuru sana kwa kunijali na kutonitenda japo ni kapuku. [emoji6]Lipi kapuku wanguu[emoji12]
Sasa tusipowaganda mtapata ugonjwa wa upweke banaJanja yenu eti mabilionarea wa jf, kumbe mnatafuta mtugande wenye mapesa yetu...!
Sawa niko tayariPesa za kustaafu mbona kidogo sana.
Naweza kukuachia zote kabisaaaa.
Sema kama uko tayari basi!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hebu niacheni kwanza najibu pm za mabilionea tu makapuku msije pm