Uzi wa Mabilionea wa JF, jitokezeni!

Uzi wa Mabilionea wa JF, jitokezeni!

Huu uzi umechelewa sana! Ulitakiwa upost wakat JK yupo madarakani ila zama hizi za Baba Jesca upati hata mamilionea humu jf!
 
Mabilionea hatupendi sana mabinti wa kulia lia njaa.ukitaka utajirike lazima uwe bahili.kuhonga tunaonga ila kwa target.maana kuna Wanawake ata kama ni njaa hiyo yenu imezidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom