Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Kwa wakazi wa Moshi Arusha fanyiwa wiring ya nyumba shule ukumbi wako kwa Bei rahisi

Tuna mafundi wanaoweza kufanya kazi kwa uaminifu usalama na haraka tuna leseni ya kufanya kazi za umeme ni wewe tu kutupigia happy 0623799310
 
Wakuu nauza mikeka safi na laini kabisa ya kupumzikia, kukalia au hata kulia chakula

Bei;30000/= kwa mkeka mmoja

Free delivery kwa wateja wa Dar wataochukua mikeka kuanzia miwili na kuendelea, wakazi wa mikoani utachangia nauli ya kukuagizia mzigo

Mawasiliano;0742880956 for call &wasap

Futi 6×6 na ni nzito kama zulia na hazipitishi maji

View attachment 2176230View attachment 2176229
IMG-20220404-WA0022.jpg
 
fanya biashara ya mbuzi
nunua tanga huko uzia vingunguti na tafuta wateja wa kwenye mabaa

Biashara nzuri ukitulia nayo na ukiwa ba eneo la kuwahifadhia.

Mbuzi mmoja anaeza kukupa elfu 50 na zaidi, zidisha kwa 10 hapo...
duh!
 
Mashuka safii na mazuri ya Mtumba kutoka UK. 100% cotton Size7×8 Wakazi wa dar es salaam unaletewa kwa sh elfu mbili .

Mashuka mawili na Foronya nne tsh 50,000
Shuka moja foronya mbili ni tsh 25,000

Mikoani unatumia kwa gharama ya tsh elfu tano tu.
Namba zetu ni +255655266249 hii inapatikana whatsApp
na kawaida ni hii +255672601301 karibuni.View attachment 1530614View attachment 1530615View attachment 1530616View attachment 1530617View attachment 1530618View attachment 1530619View attachment 1530621View attachment 1530622View attachment 1530623View attachment 1530625View attachment 1530626View attachment 1530627View attachment 1530630View attachment 1530632View attachment 1530633
👍
 
Mtumba?
Huh!
 
wadau mwenye kufahamu bei ya gunia la viazi Mbeya na Njombe na taratibu zipoje mpaka linafika DSM,!
 
Naomba kufahamu pia bei ya mkungu wa ndizi kwa Mbeya na Moshi (ndizi aina zote), na taratibu zipoje mpaka zinafika Dar
 
Back
Top Bottom