Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

.: Habari?
.: Meza ya alminuam inauzwa laki moja... Ipo kimara mwisho
: Meza ya plastic ya watu sita na vita vitatu vya plastic... Vyote kwa pamoja elfu 70.
.: Kabati la chips lakimoja.
.: Jiko la mishkaki elfu 50.
Jiko la mkaa kubwa sana... Na makarai mawili ya kukaangia... Vyote kwa pamoja elfu 50.

Kwa anaye hitaji njoo PM.
IMG_20220103_173503.jpg
IMG_20220103_173923.jpg
IMG_20220103_173839.jpg
IMG_20220103_173913.jpg
IMG_20220103_173654.jpg
IMG_20220103_173524.jpg
IMG_20220103_173604.jpg
IMG_20220103_173524.jpg
IMG_20220103_173506.jpg
IMG_20220103_173503.jpg
 
Mchele kg 75 bado upo wakuu, niliwaambia kg 20 nauza elfu 30,000 now imepungua ni 28,000/= na hata kg 10 unapata 15,000 tu

Note: hakutoka clear sana wakati unakoboreshwa mashineni , ila ni mzuri from Kyela. Karibuni

20211128_141222.jpg


20211128_141117.jpg
 
Ninatoa huduma ya massage kwa akina dada/mama. Ni mobile office unaniita popote utakapo. Either full or half Tsh 30,000 for half an hour and Tsh 50,000 one hour. I am a male.

Dar.
u mkombozi san kwa weng but kunajambo ningependa kukuongezea ka hutojali, but nadhani linatija
 
Tufanye haya ili tuepukane na ugumu wa maisha kutokana na ughali wa mafuta ya kupikia kupanda bei. unaweza kutumia mafuta ya nguruwe kupikia vyakula mbalimbali na ukaokoa gharama kubwa na ukapata mafuta mazuri pia ni mafuta yanayostahimili moto mkali wakati wa kukaangia vitu.
unaweza nunua mafuta yako kwa watu wa kutengeneza kitimoto ama kununua toka kwa wachinjaji na ukaja yaandaa mwenyewe ama ukanunua ambayo yashaandaliwa na ukaja ukayachuja na tissu na yanakuwa masafi kabisa na utayatumia vizuri pasipokuwa na shida.
Pia yanapatika kwa unafuu na sehemu nyingi tu, pia bei inaweza range kati ya 2000 mpaka 3000

KUMBUKA connection hii ni kwa wale wanaotumia mafuta haya tuu,
 
Back
Top Bottom