Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 34,914
- 100,271
Duhh nilitoka kidogo, lqbda waliuweka kwenye review!Eti mbona kama huu uzi ulipotea ghafla!?
Duhh nilitoka kidogo, lqbda waliuweka kwenye review!Eti mbona kama huu uzi ulipotea ghafla!?
Kama huu mwandiko🤔Hii ni reply yangu nje ya JF Ila mhusika ameniomba niiweke huku bila kumtaja ID yake
Kwanza kabisa, nataka ujue kuwa hisia unazopitia ni za kibinadamu kabisa na huko upo peke yako katika mapambano haya.
Vijana wengi sana duniani kote wanapitia changamoto kama yako kila siku, hata wale unaowaona kwenye mitandao ya kijamii wakionekana wamekamilika.
Ni muhimu kutambua kuwa picha nyingi unazoziona mtandaoni zimehaririwa kwa vichujio (filters), hivyo kulinganisha maisha yako ya kawaida na picha hizo ni kujiumiza bure.
Mwili wako una mambo mengi ya ajabu na mazuri yanayofanya kazi kila sekunde, na unapaswa kuushukuru kwa kukuweka hai. Badala ya kuweka akili yako yote kwenye kile unachodhani ni kasoro, geuza mtazamo wako na uangalie uwezo mkubwa ulionao.
Mwili wako unakuwezesha kutembea, kufikiri, kufanya kazi, na kufurahia maisha, jambo ambalo ni baraka kubwa sana inayopaswa kupongezwa.Kumbuka kuwa kile unachokiona kama upungufu ndicho kinachokufanya uwe mtu wa kipekee sana duniani.
Hakuna mwanadamu yeyote aliyewahi kuumbwa akiwa mkamilifu kwa asilimia mia moja, na tofauti zetu ndizo zinazoleta uzuri wa ubinadamu.
Mara nyingi, sifa hiyo unayoiona kama kikwazo inaweza kuwa ndiyo alama yako ya pekee inayokutofautisha na kukutambulisha vizuri mbele ya jamii.
Ili kujenga ujasiri wako, unapaswa kujifunza kujipenda na kujikubali jinsi ulivyo bila kusubiri sifa au kibali kutoka kwa watu wengine.
Anza kujitazama kwenye kioo na kujisemea maneno ya ushindi, huku ukichagua mavazi na mitindo inayokufanya ujisikie vizuri na salama.
Thamani yako halisi haitokani na muonekano wako wa nje tu, bali inatokana na tabia yako, akili yako, na utu wako wa ndani.Mwisho, usikae na mzigo huu mkubwa moyoni mwako peke yako kwani kuficha hisia hizi huongeza maumivu makali.
Tafuta mtu mmoja unayemwamini sana, awe mzazi, ndugu, au rafiki wa karibu, na ufungue moyo wako kwake ili upate faraja. Kushirikisha wengine changamoto yako kutakusaidia kuona kuwa tatizo hilo ni dogo kuliko unavyolikuza akilini mwako, na utapata nguvu mpya ya kusonga mbele.
Sawa uko vizuri umeandika kama binti wa zamani..Trust me ni Mimi lakini nje ya JF
Wala sio kike, ile tone ya ushauri tu!Duh..😂.. Kwamba nimeandika kike?😂
huyo ana hela au ana madafu hahahhaa mwenye hela anatakiwa ale totoz tuu.Kwenye wenye hela lakini hawajui wafanyeje na wanatafuta ushauri kwa gharama kubwa
kabisa mkuu...muhimu ndalama ukishakuwa na ndalama basi 99 percent of problems kwish mengini yote ni matatizo ya kujitafutia tuuuTuna shida na pesa tu, ushauri upo kila kona umejaa tele!
Hakuna msiba mkubwa duniani kama kuwa na hela lakini mtarimbo umelala doro😭😭😭huyo ana hela au ana madafu hahahhaa mwenye hela anatakiwa ale totoz tuu.
ukiondoa matatizo ya afya, tatizo kuu duniani ni kukosa pesa lakini ukiwa na pesa 99 percent of problems are solved, the other 1 percent are self inflicted. ata mambo ya afya mengi tunayatafuta wenyewe kwa mtindo maisha usio faaa.
kibamia kifanye kazi aiseee maaana ndio raha ya duniaHakuna msiba mkubwa duniani kama kuwa na hela lakini mtarimbo umelala doro😭😭😭
Ulichopewa ni viagra na hao mashahidi watakupa matumaini hewaNdugu Mshana Jr nimeshindwa kureply moja kwa moja kwenye comment kwakua ninatumia simu ya batani
1. kunapopambazuka uume unasimama vizuri lakin ni dakik kama 2 tu.
2. swala langu la kutengana na mwenza, mastrubation ya mda mrefu, maumbile kua madogo kupitiliza niliwasiliana na 199 nikambiw niend hospital. nilibahatika kwenda nilichopewa ni vidonge ambavyo kila nikimeza napatwa na wazimu uume ulikua unakaza kwa zaid ya dakik 30. juzi tu nimekutana na mashahidi wa yehova nikaona niungane nao
😂😂😂😂kibamia kifanye kazi aiseee maaana ndio raha ya dunia
Kwa tatizo la mastrubation isikupe changamoto kuna namna watu wanatoka huko kuna Mr mmoja huwa anaprogram ya Mazoezi ya kiume yanayo weka kurejesha hali halisi ya kimaumbile kwa walioathiriwa na hali hiio na wakawa wanaume kwli kwliNdugu Mshana Jr nimeshindwa kureply moja kwa moja kwenye comment kwakua ninatumia simu ya batani
1. kunapopambazuka uume unasimama vizuri lakin ni dakik kama 2 tu.
2. swala langu la kutengana na mwenza, mastrubation ya mda mrefu, maumbile kua madogo kupitiliza niliwasiliana na 199 nikambiw niend hospital. nilibahatika kwenda nilichopewa ni vidonge ambavyo kila nikimeza napatwa na wazimu uume ulikua unakaza kwa zaid ya dakik 30. juzi tu nimekutana na mashahidi wa yehova nikaona niungane nao
kabisa mkuu...muhimu ndalama ukishakuwa na ndalama basi 99 percent of problems kwish mengini yote ni matatizo ya kujitafutia tuuu
Hili ndio linaweza kuwa mojawapo ya changamoto kubwa wanazokutana nazo vijana wetu.. Na wengi wanaona aibu kufungukaKwa tatizo la mastrubation isikupe changamoto kuna namna watu wanatoka huko kuna Mr mmoja huwa anaprogram ya Mazoezi ya kiume yanayo weka kurejesha hali halisi ya kimaumbile kwa walioathiriwa na hali hiio na wakawa wanaume kwli kwli
Nenda telegram andika @punda55 nafikiri uanze kupata utatuzi huko kwnza
Yaa sema kuna jina la bwana mmoja mgunduzi wa hiko kitu nimefukunyua kichwan nimekwama ila kama sijakosea sana hio hayo mazoezi yametokana na method moja inaitw kama Chartman method mgunduzi huyu ,alikua anafanya majaribio haikudhibitika kuwa iko sawa ila muhusika alikili inafanya vyema na kwa hapa Bongo huyo Mr @punda55 telegram anatoa huduma vyema na toka aanze ameokoa wengi sanaHili ndio linaweza kuwa mojawapo ya changamoto kubwa wanazokutana nazo vijana wetu.. Na wengi wanaona aibu kufunguka
Inawezekana!Nadhani ni forum yenyewe ilichanganyikiwa ama simu yangu
Nitakukumbusha.. Nimejaribu kufanya search kwangu imegoma! Nadhani spelling sio sahihiYaa sema kuna jina la bwana mmoja mgunduzi wa hiko kitu nimefukunyua kichwan nimekwama ila kama sijakosea sana hio hayo mazoezi yametokana na method moja inaitw kama Chartman method mgunduzi huyu ,alikua anafanya majaribio haikudhibitika kuwa iko sawa ila muhusika alikili inafanya vyema na kwa hapa Bongo huyo Mr @punda55 telegram anatoa huduma vyema na toka aanze ameokoa wengi sana
Nikipata jina mkuu mshana nitaomba tufanye kuziandaa video za namna ya kufanya Mazoezi hayo tusaidie jamii ya kiume .
N:B sikumbuki vyema jina ila nikama C AND CAM chartman method kama yupo aliyewahi sikia atuwekee hapa tutafute kwa kina