Uzi maalum wa ushauri kwa vijana

Uzi maalum wa ushauri kwa vijana

Nitakukumbusha.. Nimejaribu kufanya search kwangu imegoma! Nadhani spelling sio sahihi
Unaweza kuifikia telegram mkuu ,basi chek hilo jina ndan yake kuna maelekezo ktk kundi liloanzishwa na huyu Mr @punda55
Jina la hio njia tutapata.
 
Dah pole, kuna kitu inaitwa depression kama ulivuka hapa hakuna kitu kitakuyumbisha kwenye hii dunia!
I've been through depression more than once. I've been broken into pieces countless times, and there were moments when I felt like I was losing my sanity Looking back, I'm grateful I survived it all.

ujana wangu ulikua kama grave place, nakumbuka nligive up kila kitu nkaona niwe nasari tu maybe things will change, but now I'm here at peak ndomana hua siachi kuwa thankfully .

When things feels heavy run to GOD kneel and cry a lot, I have TESTIMONY
 
Kijana mwenzangu

1 angalia circle yako

2 usiamini watu kupita kiasi haijarishi ni mtu mzima au kijana mwenzio

3 Jua mipaka yako kwamba hapa asiwepo wa kuivuka

4 Punguza watu wanaonyonya energy yako

5 Focus na kazi yako au biashara

6 Marafiki zako wawekee mipaka

Mwisho kabisa hakuna anaejari kuhusu wewe kuliko wewe mwenyewe

Kua makini na watu unaowakopesha uaminifu wako

Hakikisha huvumilii unyanyasaji udhalilishaji wa aina yoyote kwa ahadi ya vipande vya pesa
 
Kijana mwenzangu

1 angalia circle yako

2 usiamini watu kupita kiasi haijarishi ni tu mzima au kijana mwenzio

3 Jua mipaka yako kwamba hapa asiwepo wa kuvuka

4 Punguza watu wanaonyonya energy yako

5 Focus na kazi yako au biashara

6 Marafiki zako wawekee mipaka

Mwisho kabisa hakuana anaejari kuhusu wewe kuliko wewe mwenyewe

Kua makini na watu unaowakopesha uaminifu wako

Hakikisha huvumilii unyanyasaji udhalilishaji wa aina yoyote kwa ahadi ya vipande vya pesa
Disappointment is always gonna be there, that is how life it is.
 
I've been through depression more than once. I've been broken into pieces countless times, and there were moments when I felt like I was losing my sanity Looking back, I'm grateful I survived it all.

ujana wangu ulikua kama grave place, nakumbuka nligive up kila kitu nkaona niwe nasari tu maybe things will change, but now I'm here at peak ndomana hua siachi kuwa thankfully .

When things feels heavy run to GOD kneel and cry a lot, I have TESTIMONY
Aww Glory be to God!🥰
Kwakweli siku uje na hii testimony huwezi jua utaokoa vijana wangapi, people are going through hell ni vile tu kila mtu ana woga kufunguka! Am so happy uliweza kujikaza na ukavuka hili! Mungu aendelee kukutetea rafkiangu!🫂
 
Disappointment is always gonna be there, that is how life it is.
Watu kuku katisha tamaa ni jambo moja
Wewe kukubari kukata tamaa ni jambo lingine

Kama ukigundua hakuna anaejali kuhusu wewe basi jijali mwenyewe bila kusikiliza sauti za wanaokukatisha tamaa

Na ukweli mchungu dunia ya leo ni muhimu kujiweka kipaumbele wa kwanza kuna uzi na ku tag upitie ukipata chance
 
Aww Glory be to God!🥰
Kwakweli siku uje na hii testimony huwezi jua utaokoa vijana wangapi, people are going through hell ni vile tu kila mtu ana woga kufunguka! Am so happy uliweza kujikaza na ukavuka hili! Mungu aendelee kukutetea rafkiangu!🫂
As long as I'm alive i will tell a tale
 
Watu kuku katisha tamaa ni jambo moja
Wewe kukubari kukata tamaa ni jambo lingine

Kama ukigundua hakuna anaejali kuhusu wewe basi jijali mwenyewe bila kusikiliza sauti za wanaokukatisha tamaa

Na ukweli mchungu dunia ya leo ni muhimu kujiweka kipaumbele wa kwanza kuna uzi na ku tag upitie ukipata chance
Kuna ajali, kupoteza kazi, biashara kufail hata kupata magonjwa hizo pia ni disappointment znazo mkumba mwanadam.

So it's blessing sometimes.
Thus why i say it once again disappointment is always gonna be there.
 
Upo sahihi
So it's blessing sometimes.
Thus why i say it once again disappointment is always gonna be there.
Disappointment will always be part of life
The choice is yours👇
give up, or rise, keep going, and move forward🙏
 
Aww Glory be to God!🥰
Kwakweli siku uje na hii testimony huwezi jua utaokoa vijana wangapi, people are going through hell ni vile tu kila mtu ana woga kufunguka! Am so happy uliweza kujikaza na ukavuka hili! Mungu aendelee kukutetea rafkiangu!🫂
Nilishawahi andika humu kuwatia moyo vijana wenzangu nadhani ilikuwa 2021. Hakuna lisilo na mwisho haijalishi unapitia magumu mangapi. Na wale maboya wanaotumia vyeti ndio walitaka kunidhoofisha kabisa lakini wale siku Inakuja watawaponza waking wengi sana kwenye mifumo ya utoaji na huruma.
 
Dahh kuna levels ukifika unamuachia aliye juu apambane nao zaidi! Aisee.. 😔
 
Back
Top Bottom