Sio wote wanahitaji pesa tu, kuna wengine neno lako moja tu linamuokoa nafsi yake!Tuna shida na pesa tu, ushauri upo kila kona umejaa tele!
Hii ni changamoto kubwa Sana kwakuwa katikati ya wahitaji wa kweli kuna wapigajiWatu wanateseka sana! Kuna kijana mmoja nimemsoma humu mara kadhaa like anahitaji msaada ila watu wanampuuzia! Ila kiukweli kuna watu wanapitia magumu sana! Tusiwe tunawatenga!
Wapigaji tu ndio watakaoturudisha nyuma, cha kufanya mtu akiweza kuja anonymous na aje!Hii ni changamoto kubwa Sana kwakuwa katikati ya wahitaji wa kweli kuna wapigaji
Kweli kabisaaaa, na wengi ndio tunakotesekea uko sisi vijanaNa hapa introverts ndio wahusika wakubwa.. Extrovert hawana shida Sana maana hawakai na kitu moyoni
Kijana kwenye 21-25 ni wa moto kweli huyo lakini uzoefu kwenye mahusiano anakuwa bado Sana.. Anakutana na binti wa 18-21 .. Anadhani na mwenzie naye bado kumbe tayari katoto ni kachafu Kama bata miaka mitano nyuma🤔😭🙌🏿Kweli kabisaaaa, na wengi ndio tunakotesekea uko sisi vijana
Sio wote wanahitaji pesa tu, kuna wengine neno lako moja tu linamuokoa nafsi yake!
Ni changamoto chache sana kwenye maisha zinatatulika kwa ushauri pekee.Kwenye wenye hela lakini hawajui wafanyeje na wanatafuta ushauri kwa gharama kubwa
Tuongeze umakini na watu tunakutana nao chocho tu!Nikimkumbuka mzee wa "assist" sina hamu
Anapewa pigo moja takatifu anakimbilia kunywa sumu🥲Kijana kwenye 21-25 ni wa moto kweli huyo lakini uzoefu kwenye mahusiano anakuwa bado Sana.. Anakutana na binti wa 18-21 .. Anadhani na mwenzie naye bado kumbe tayari katoto ni kachafu Kama bata miaka mitano nyuma🤔😭🙌🏿
Basi hujakutana na matatizo bado, kuna wenzio wanahitaji msaada na ni wengi tu mpaka uzi umeanzishwa kuna watu wanakutana na hao watu!Ni changamoto chache sana kwenye maisha zinatatulika kwa ushauri pekee.
Hii ni kwasababu maisha hayana maana kwahiyo kila mmoja anafanya linalompendeza.
Lakini mkuu ninafahamu vijana wanaoshauriwa sana ila hawasaidiki, pia ninafahamu washauri ambao hawaishi ushauri wao.Basi hujakutana na matatizo bado, kuna wenzio wanahitaji msaada na ni wengi tu mpaka uzi umeanzishwa kuna watu wanakutana na hao watu!
Kwamba nini!, hebu ongeza sauti niskie vizuri😌 !spiritul issues
Kuna wengi tu kwenye haya maisha wana kila kitu lakini wanachokosa ni ushauri sahihi upweke na msaada wa kirohoNi changamoto chache sana kwenye maisha zinatatulika kwa ushauri pekee.
Hii ni kwasababu maisha hayana maana kwahiyo kila mmoja anafanya linalompendeza.