Uzi ni mahususi sana huu kwa ustawi wa maisha ya vijana lakini wengi wataona aibu kujieleza.Weka hapa linalokusumbua.. Lakini Kama unahofu ya kutumia jina lako.. Unaweza kuwasililiana na Moderator akakuweka anonymous
Vijana wamevurugwa mentally.
Vijana wengi hawana sexual awareness
Vijana wengi wanateseka na uraibu
Vijana wengi wanateswa na mahusiano
Vijana wengi wanatepelika kwa maana hawana information
CC: Eli Cohen
Kweli mkuu kukosa ajira/kipato na umetoka familia masikini, familia inakuona ww ndo mkombozi alafu wewe una chochote inauma.Hayo ni mambo mazito na ya msingi sana yanayogusa maisha ya kila mwanadamu. Mara nyingi, mambo haya yanahusiana sana. Kwa mfano, kukosa ajira kunaweza kuleta msongo wa mawazo unaoathiri afya ya akili, na kisha kuleta migogoro kwenye mahusiano au kukufanya uanze kutafuta majibu katika upande wa kiroho (spirituality).
Mimi nikikushauri usiwe mwizi au mzinifu sina maana ya kuwa mimi ni msafi sana, nikikushauri uvumilie ndoa ni uvumilivu haimaanishi mimi ni mvumilivu au nina ndoa, nikikushauri ukimwi unaua… anyways! Fuata mafundisho sio mfundishaji! Kufuata ushauri ni hiari yako!Lakini mkuu ninafahamu vijana wanaoshauriwa sana ila hawasaidiki, pia ninafahamu washauri ambao hawaishi ushauri wao.
Manyanza nalitambua hili tatizo lako na ni la muda mrefu.. Kwasasa nakushauri utulie maana umeshapambana mno lakini feedback zimekuwa hazina majibu ya maanaUzi ni mahususi sana huu kwa ustawi wa maisha ya vijana lakini wengi wataona aibu kujieleza.
Tatizo langu kubwa linaloninyima utulivu ni kuhusu mtu kuendelea kutumia vyeti vyangu vya elimu.
Nimetafuta msaada kwenye taasisi zote za serikali NECTA, TAKUKURU, OFISI YA MKUU WA MKOA,UTUMISHI pale Magogoni. Baadhi ya viongozi Mawaziri, Jaji ambaye ni kama Baba mdogo, Watumishi wa umma wenye nafasi kubwa Serikalini na baadhi ya watu ambao ni wateule wa raisi lakini bado hakuna msaada. Yaani hili jambo huwa linanipanikisha sana na kuiona hii Serikali ni ajabu sana.
Hili jambo halinizui kuendelea na mipango yangu lakini huwa linanitatiza na kuniathiri sana kisaikolojia sometimes.
Hongera sana Mkuu Mshana Jr
Watu wana matatizo ya kiroho na hawajui mkuu!Kwamba nini!, hebu ongeza sauti niskie vizuri😌 !
Si ndio! Vijana wengi wanapotea..Akikosa mshauri mzuri anakunywa kweli😂
Tena kama wewe! Uongeze umakini sana na punguza kuamini watu kwa urahisi, watu wanataoeli watumishi wa Mungu itakuwa mganga😅Mimi pengine ni mhanga mkuu.. Lakini aki watu wana mioyo migumu yani waampiga hata mganga? Hivi hawaogopi?😂
Kweli mkuu kukosa ajira/kipato na umetoka familia masikini, familia inakuona ww ndo mkombozi alafu wewe una chochote inauma.
Kweli mkuu kukosa ajira/kipato na umetoka familia masikini, familia inakuona ww ndo mkombozi alafu wewe una chochote inauma.
I learned a hard way 🙏🏿Tena kama wewe! Uongeze umakini sana na punguza kuamini watu kwa urahisi!
Ulimkabidhi mwenyewe?Uzi ni mahususi sana huu kwa ustawi wa maisha ya vijana lakini wengi wataona aibu kujieleza.
Tatizo langu kubwa linaloninyima utulivu ni kuhusu mtu kuendelea kutumia vyeti vyangu vya elimu.
Nimetafuta msaada kwenye taasisi zote za serikali NECTA, TAKUKURU, OFISI YA MKUU WA MKOA,UTUMISHI pale Magogoni. Baadhi ya viongozi Mawaziri, Jaji ambaye ni kama Baba mdogo, Watumishi wa umma wenye nafasi kubwa Serikalini na baadhi ya watu ambao ni wateule wa raisi lakini bado hakuna msaada. Yaani hili jambo huwa linanipanikisha sana na kuiona hii Serikali ni ajabu sana.
Hili jambo halinizui kuendelea na mipango yangu lakini huwa linanitatiza na kuniathiri sana kisaikolojia sometimes.
Hongera sana Mkuu Mshana Jr
Ni mzigo mkubwa sana kisaikolojia pale familia inapokutegemea uwe mkombozi, wakati wewe mwenyewe huna mbele wala nyuma. Unajiona kama umewaangusha, lakini ukweli ni kwamba hujashindwa na wala huu sio mwisho wako. Hali hii ya "urembo wa umaskini" (ambapo kila mtu anakutazama wewe) huwatesa vijana wengi sana kwa sasa.Kweli mkuu kukosa ajira/kipato na umetoka familia masikini, familia inakuona ww ndo mkombozi alafu wewe una chochote inauma.
Nimeamua kutulia Mkuu na ishu nyingine inayosumbua ni ujinga wa baadhi ya watumishi sa umma katika kutoa huduma. Tena mtu haki yangu imedhurumika najitahidi kujipambania ninakutana na vikwazo natamani sana siku nitoke kama Captain Tesha niongee hadharani maana nimeweka record zote.Manyanza nalitambua hili tatizo lako na ni la muda mrefu.. Kwasasa nakushauri utulie maana umeshapambana mno lakini feedback zimekuwa hazina majibu ya maana
Hakuna marefu yasiyo na ncha vumilia Tanganyika ikombolewe haki yako itapatikana
Huu ni ujumbe mzito kwa kila kijana mtafutaji, mpambanaji, asiye na makuu, na anayevumilia upweke wa safari ya kusaka maisha bila msaada wa mtu yeyote.Kama wewe ni Kijana asiye na makuu , au ni Kijana mtafutaji , au ni kijana mpambanaji au wewe ni Kijana mpweke, kwa namna yoyote ile pita hapa upate mawaidha.
Ni story ndefu sana 😢 aliyefanya hilo jambo ni Afisa Usalama na kwa taarifa nilizo nazo alishawahi kuwa Mkuu wa misafara ya PM Majajiwa K Majaliwa yaani mijitu ni mirafi ana mkate mzima hata ile slice moja anaitolea mate. Tena yule Afisa Usalama ni mpuuzi mkubwa na kashapata stroke hana ubavu tena. Najua wanaona ninachokiandika hapa.Ulimkabidhi mwenyewe?
Mfano mimi matatizo yangu yote nimeshapewa mwanga wa namna ya kuyatoroka, ila nina changamoto ya kusita.Mimi nikikushauri usiwe mwizi au mzinifu sina maana ya kuwa mimi ni msafi sana, nikikushauri uvumilie ndoa ni uvumilivu haimaanishi mimi ni mvumilivu au nina ndoa, nikikushauri ukimwi unaua… anyways! Fuata mafundisho sio mfundishaji! Kufuata ushauri ni hiari yako!
Ila binadamu walioshikilia mamlaka!🙌🏾 Hii yote ni kukuonesha jinsi gani ulivyo si kitu, wanatumia na hakuna kitu utafanya hata uende ukashtaki wapi! 😢 Mungu atusaidie sana..Ni story ndefu sana 😢 aliyefanya hilo jambo ni Afisa Usalama na kwa taarifa nilizo nazo alishawahi kuwa Mkuu wa misafara ya PM Majajiwa K Majaliwa yaani mijitu ni mirafi ana mkate mzima hata ile slice moja anaitolea mate. Tena yule Afisa Usalama ni mpuuzi mkubwa na kashapata stroke hana ubavu tena. Najua wanaona ninachokiandika hapa.
Hili la kwangu litawaponza wengi sana aisee nimeweka records zangu vizuri. Kuna ujinga mwingi sana aisee kuna kijamaa kilisoma form arts, kikaenda miezi mitatu computer course pale UCC ghafla miaka Michache mbele ana cheti cha Computer science and Mathematics 😅😅😅 na anamalizia MA sasa hivi huyu kweli alivyoingia kwenye utumishi kwa magumashi na anapanda vitengo daily huyu atakuja kutoa haki kweli ?Ila binadamu walioshikilia mamlaka!🙌🏾 Hii yote ni kukuonesha jinsi gani ulivyo si kitu, wanatumia na hakuna kitu utafanya hata uende ukashtaki wapi! 😢 Mungu atusaidie sana..
Ndomaana wengi wanaingia kwenye ulevi na umalaya wa kupindukia ili kupata ahueni ila ni shida bill ndogo za hm uwez kuclear kaz umeomba kila sehemu amna chochote.Ni mzigo mkubwa sana kisaikolojia pale familia inapokutegemea uwe mkombozi, wakati wewe mwenyewe huna mbele wala nyuma. Unajiona kama umewaangusha, lakini ukweli ni kwamba hujashindwa na wala huu sio mwisho wako. Hali hii ya "urembo wa umaskini" (ambapo kila mtu anakutazama wewe) huwatesa vijana wengi sana kwa sasa.