Uzi Maalum wa maswali na masuala mbalimbali yahusuyo Kodi, ushuru na masuala mengine yanayowahusu TRA

Kweli wanadanganyana ila ni vizuri pia kutoa suluhisho kwa kuwaelekeza

Lakini Kuna hili la Tra kukurupuka na kujidai wanajua thamani ya kila kitu, naamnini unalijua hilo maana kwenye post yako unasema kama angeagiza machine kubwa tra wasingejisumbua kuangalia thamani yake kwenye simu! , kiufupi una maan kuwa Tra wangemzingua kwa kukadiria kodi isiyolipika ,

kwa hili njia pekee ni wafanya biashara kulalamika kwa Tra ili kusudi kodi ziwe zinalipika,

Sent using Jamii Forums mobile app
Saaaaafi umeongea anakadiria mradi tu kuku maliza basi.
 
Kuna jamaa alikuwa na shamba lake akipanda mahindi kila mwaka na tumbili huwa wakiingia shambani mwake kila kunapokuwa na mahindi na akiwafukuza akiwaona. Mwenye shamba akaugua akafa na wale tumbili walifurahi sana wakijua sasa ni free kuingia shambani. Mwaka ukaanza wakati wa mahindi ukafika lakini shamba lilikuwa tupu, tumbili wale walisikitika sana na kutambua kuwa shamba halikulimwa kwa sababu mlimaji alifariki.
Ungelifumbua ili fumbo tungejua tu mbili ni nani na jamaa ni nani kati ya TRA na sie wananch
 
mk
Hongera sana kwa kupambana na hao wezi...sijajua kwann TRA haina uwazi kila mtu awe huru kujua anachochajiwa mwenyewe.
Ukienda TRA pona pona yako inategemea na mtu utakaye mkuta na kaamkaje siku iyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu suala la kodi kwa ujumla ni "professional " kama ilivyo sheria na nyinginezo sasa wakati mwingine mtu anapata shida na kulingana na suala la muda kuanza kukuelekeza kuanzia mwanzo mpaka mwisho mfano ili upate bei ya bidhaa kwa ajili ya kodi kuna vitu vingi vinahusishwa kama invoice value, freight , and insurance if any na vyote hivyo vinachanjiwa kwa percentage zake hivyo kama wew ni mfanyabiashara au unaagiza vitu mara kwa mara na unaengage revunue authority bas tafuta mtu akupe elimu ya kodi itakusaidia na sio kutegemea kupewa ufahamu kwenye clearance desk( Otherwise we clearing agent we work on your behalf).
 
Sawa dada, naona unatupa theories za kodi hapo. Vipi ushapata ajira TRA?
nakupa theories za kodi?

sasa kumbe hii thread ni ya theories za nini, michezo?

don't be ridiculous.

ushuru wa forodha Tanzania haupimwi kwa bei uliyonunulia

Unapimwa na bei ya soko la Tanzania kwa lenzi ya TRA
 
Ahsantee na malipo unafanya na banking au njia
Gani unatumia mkuu

god is good
Malipo mi natumia Voda kwaiyo nalipa kupitia mpesa master card naskia tigo na Airtel nao wanazo aina aja kadi ya bank wamerahisisha kwa mtindo huo
 
sasa kumbe hii thread ni ya theories za nini, michezo?

don't be ridiculous.

ushuru wa forodha Tanzania haupimwi kwa bei uliyonunulia

Unapimwa na bei ya soko la Tanzania kwa lenzi ya TRA
Kwaiyo mkuu vipi jamaa alikua sahihi kitu cha elfu 5 nilipie kodi elf 35000 ?!??!!
 
Kwaiyo mkuu vipi jamaa alikua sahihi kitu cha elfu 5 nilipie kodi elf 35000 ?!??!!
Elfu tano mbona nyingi, hata bure ungeipata bado ungethaminishwa bei ya soko!

kitu cha elfu tano, elfu tano wapi ????

hapa Tanzania hicho cherehani hakiuzwi elfu tano!

ushuru unapimwa na thamani ya mali IKIWA MTAANI TANZANIA!

Ulaya wanatupa nje TV na computer zilizotumika.
Ukikusanya TV zilizotupwa pembeni ya barabara Ulaya ukazileta, TRA Customs hawatakuachia uzipitishe bure eti kwa vile umezipata bure!

Ni vema kuelewa taratibu za kisheria za Tanzania za ushuru wa forodha.
 
Elfu tano mbona nyingi, hata bure ungezipata bado ungethaminishwa bei ya soko!

eti kitu cha elfu tano, elfu tano wapi ????

hapa Tanzania hicho cherehani hakiuzwi elfu tano!

ushuru unapimwa na thamani ya mali IKIWA MTAANI TANZANIA!

Ulaya wanatupa nje TV na computer zilizotumika

Ukikusanya TV zilizotupwa pembeni ya barabara Ulaya ukazileta, TRA Customs hawatakuachia uzipitishe bure eti kwa vile umezipata bure!

Ni vema kuelewa taratibu za kisheria za Tanzania za ushuru wa forodha.
aise basi kazi njema hapo Tanzania revenue authority piga kazi.
 
sasa kumbe hii thread ni ya theories za nini, michezo?

don't be ridiculous.

ushuru wa forodha Tanzania haupimwi kwa bei uliyonunulia

Unapimwa na bei ya soko la Tanzania kwa lenzi ya TRA

Kwa mindset kama hizi zako ndo maana biashara zinakufa ,na itafika kipindi watu wataona ni bora kuajiriwa kuliko kufanya biashara , hii itaweka stress zaidi kwenye mfumo wa ajira sababu kila mtu atakimbilia huko ilhali serkali haina haiwezi kuabsorb kila mtu.

Hilo la ushuru kutokupimwa kwa bei ya manunuzi ni kosa kubwa sana , na linaleta mianya kikubwa sana ya rushwa , bei za masoko dunia ya leo hazipo fixed na zina vary sana kutokana na muda au hali ya bidhaa, mfano bei za promotion n.k unaposema bei zipimwe kwa soko la Tanzania ndipo uonevu unapoanza

Juzi tu hapa kuna mdau alikua akilalamikia calculator ya Tra kwenye kodi za gari za Subaru sikumbuki model number , calculator ya Tra ilikuwa unasema kodi ya gari hilo ni milion 20, wakati bei ya manunuzi na usafiri haizid milion tano, nadhan wamebadilisha hilo, baada ya malalamiko ,sasa hiyo ni tone tu la malamiko kwenye hiyo mnayoiita lenzi ya Tra .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vema kuelewa taratibu za kisheria za Tanzania za ushuru wa forodha.

Muwe mna utaratibu kuzipitia na ku update taratibu zenu, ili ziendane na wakati, sheria zenu nyingi zimepitwa na wakati na zinafanya watu wengi wakwepe kodi mana hazilipiki.kwa uonevu

Enzi hizi za wire transferbado mnahangaika na ku uplift value wakati mna uwezo wa Hadi kufatilia zilitumwa kiasi gani kununua item hiyo

Ukweli ulio hai kwa system iyo lazima ufunge biashara ukinunua kitu lazima ulipe chini ya pesa ulionunulia sasa kitu EF 50 ulipe kodi elf 90 hapa lazma uone biashara ngumu na unafunga kabisa ajabu Mdau mmoja anasapoti wizi Wa wazi wazi.
 
Shida Vijana waliopata Bahati ya kufanya kazi TRA WENGI UNGA UNGA MWANA MUDA MWINGI WANASHINDA BAR BADALA YA KUONGEZA MAARIFA WAKIJA KAZINI WANA hang over na hela sijui wanatoaga wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enzi hizi za wire transferbado mnahangaika na ku uplift value wakati mna uwezo wa Hadi kufatilia zilitumwa kiasi gani kununua item hiyo
"Enzi hizi za wire transfer"
Kwani enzi gani kulikuwa hakuna wire transfer? Una umri gani kijana?

TRA hawawezi kufuatilia wire transfer yako kwa sababu, tena na tena narudia, thamani ya mali haipimwi kwa bei ya manunuzi Ulaya. Inapimwa thamani yake mtaani Tanzania kwa prism ya TRA.

calculator ya Tra kwenye kodi za gari za Subaru sikumbuki model number , calculator ya Tra ilikuwa unasema kodi ya gari hilo ni milion 20, wakati bei ya manunuzi na usafiri haizid milion tano

Cost and Freight ya Subaru lako umetumia mil 5/=

Halafu likishafika Tanzania ukitaka kuliuza utauza shiing ngapi, milioni 6 ???

Unafikiri TRA wajinga hawajui bei ya Subaru mtaani?

Again and again, thamani ya mzigo haipimwi kwa bei ya mitaani YOKOHAMA

TRA wanaenda na bei za magari KIDONGO CHEKUNDU

Tuzijue kwanza sheria za kodi ndio tutaweza kuzipinga vizuri
 
Back
Top Bottom