Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Natafuta mwanamke wa kufanya nae biashara/partner ship
Sifa:miaka 20-65
Elimu:Form 4-degree
Kazi:awe na kipato Cha kueleweka.
Family status:No matter
Dini:Yoyote asiwe mpagani tu!
Umbo: Mwenye makalio yake(zingatia)
Rangi:mweupe au mweusi.
Kabila:lolote isipokuwa,mzaramo.
Umbo:Awe na nyama zake
Sifa za ziada:ajue kuchambua mchele,tembele.
Ajue kupika kuosha vyombo.
Asiwe mshirikina.
Mwenye sifa hizo karibu DM.
 
Natafuta mwanamke kuoa sifa
awe mchapakazi,
awe amemaliza kidato cha sita na kuendelea, kabila lolote,

asiwe na mtoto

umri 22-29

awe na hofu ya Mungu

Sifa zangu
mimi ni 5.6 feet tall
nimeajiriwa serikalini
Sina mtoto
ni mweusi
ni mkristo
nina bachela
 
Natafuta mchumba...
Awe anapenda kusoma vitabu sanaa.
Elimu kuanzia Form 4.
Kazi sijachagui
Kabila asiwe wa Kanda ya Ziwa.
Kipaombele Mchaga.
Umri kuanzia 35.
Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja upendeleo awe mtoto wa kike akiwa wakiume sio mbaya japo wakiume akiwa sio mtoto wako akiwa mkubwa unawesa dundwa ukimzingua mama ake bahati mbaya.
Rangi yeyote japo mweupe napendelea.
Mimi nina kazi serikalini am Dervoced.
Umri wangu 34.
Mrefu pia mchaga.
Ninae ishi Morogoro
Ushampata ?
 
Natafuta mwanamke wa kumuoa
Mimi ni kijana wa miaka 29
Medical doctor
Mtumishi wa serikali
Nimejenga
Ninausafiri binafsi.
Mwanamke awe
Mpenda dini na ambae yupo tayari kwa maisha ya ndoa
 
Umri 52
Kazi Senior Dalali Mikocheni
Nahitaji mwanamke umri kuanzia 30_35 awe ana watoto wasizidi 2 Mimi wangu ni 2
Dini Yoyote
Awe mweupe hata mweusi
Awe tayari kuishi Ruangwa
 
Ngoja nitafute mume sasa 🤣🤣🤣
Ila vigezo vyangu vimekaa kigubu gubu sijui km mtaweza.!!
 
Back
Top Bottom