Ponda majani ya mpera na kuweka sehemu ya kidonda au iliyokatika kuondoa maambukizi. Kwa maumivu nje ya sikio tumia chai ya majani ya mpera. Tia matone ya chai hii iliyopoa kwenye sehemu iliyoathirika.
Majani ya mpera yanaondoa tatizo la kukatika kwa nywele. Chemsha majani kisha wacha yapoe na ukande kwenye paji na eneo la ngozi taratibu kwa dakika 15. Wacha kwa dakika 30 kisha usha na maji masafi bila shampoo au sabuni. Fanya hivo mara 3 kila wiki.
Wengi waniuliza namna ya kuitengeza chai ya majani wa mpera.
Kuna namna mbili. Aidha chemsha maji kama glasi nne mpaka yachemke sana, chukua majani kama 10 ya mpera, weka ndani ya maji ya moto alafu funika kwa dakika 10 - 15 koroga chuja, chai yako Tayari.
Aina ya pili ni chemsha maji hayo pamoja na majani yakiwa ndani. Iki-kokota ondoa kwa moto, wacha kwa dakika 10 -15 chuja, chai tayari. Waweza kutumia majani yaliyokauka pia. Kabla sijasahau ni vizuri zaidi ukichanganya na asali badala ya sukari.
Manchester United wanatarajia kutangaza kumsaini winga wa Borussia Dortmund na England Jadon Sancho baada ya Euro 2020 na tayari wamekubaliana masharti ya kibinafsi na mchezaji huyo wa miaka 21.
Chelsea inataka kumsaini beki wa kulia wa Inter milan na Morocco Achraf Hakimi . Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 amekuwa akinyatiwa na klabu ya PSG.. (Times, subscription required).
Iwapo Chelsea itamsaini Hakimi basi wanaweza kusikiza ofa za kumuuza winga wa England Hudson Odoi 20 au Tino Livramento, huku Aston Villa ikiwa na hamu ya kumsajili beki huyo wa kulia. (Guardian)
Paris St-Germain inachunguza hali ya mshambuliaji wa Ufaransa Ousmane Dembele, 24, ambaye kandarasi yake katika klabu hiyo ya Barcelona imesalia mwaka mmoja. (Marca)
Barcelona inafikiria kumsajili winga wa England na Manchester City Raheem Sterling ambaye anaonekana kama chaguo la kuchukua nafasi yake Dembele iwapo hataongeza kandarasi yake.
Mmiliki wa klabu ya Inter Miami Jorge Mas amethibitisha kwamba yeye na mmiliki mwenza wa klabu hiyo David Beckham wamekuwa na mazungumzo na mshambuliaji Muargentina Lionel Messi, 33, kuhusu kujiunga na timu hiyo kama sehemu ya mazungumzo ya mkataba na Barcelona wa miaka 10 wa mchezaji huyo nyota. (Miami Herald)
Mshambuliaji wa Brazil Neymar, 29, ameweka sharti aliposaini mkataba mpya na PSG kwamba hawatamuuza mshambuliaji wa Ufaransa Kylian Mbappe, 22, msimu huu. (AS - in Spanish
Tottenham wanafanya mazungumzo na winga wa Borussia Monchengladbach Mfaransa Marcus Thuram - mwana wa kiume wa mshindi wa Kombe la Dunia Lillian - kabla ya uwezekano wa uhamisho msimu wa majira ya joto. (RMC Sport - in French)
Mkurugenzi ajaye wa michezo Fabio Paratici atamuambia Harry Winks kwamba Tottenham itasikiliza ofa kwa ajili ya kiungo huyo wa kati Muingereza mwenye umri wa miaka , 25, msimu huu. (Football Insider)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.