Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 268,252
- 1,095,664
Viwanja katika majiji ya Amsterdam, Bucharest, Copenhagen, Glasgow, Rome na Seville wao wataruhusu mpaka robo ya uwezo wa viwanja vyao.
🤔unasema kweli.?Kusaidia katika UzaziMapera yana madini yaitwayo Folate ambayo husaidia katika kurutubisha mayai ya uzazi..
AaminUsiku uwe mwema kwetu wote..
SawasawaZIFUATAZO NI FAIDA KUMI ZA MAPERA.1. Utajiri wa Vitamin C:Mapera ya utajiri mkubwa wa Vitamin C ambayo ni muhimu sana katika mwili wa mwanadamu.
AiseeKuusadia mwili na akili katika ku-relax
Mapeara yana utajiri mkubwa wa madini ya magnesium ambayo hufanya kazi ya kuvifanya akili na mwili wa mwanadamu viweze ku relax. Unashauriwa kutumia mapera baada ya kazi nzito. Hii itasaidia katika kuufanya mwili na akili yako kupumzika
Aisee...safi sanaChai ya majani ya mpera imefahamika kutibu kansa na 'prostrate' kwa wanaume.
10. Chai hii inasaidia kwa wanaume wenye tatizo la kuzalisha (Infertility).
Tulip flower will be the best, nimeliona leo nikalitamani
wataalamu hao🤔unasema kweli.?
Mwezi wa 4 niliyapata mengi sana kila siku linaiva moja baada ya jingine, basi nyumba nizma inanukia maperawataalamu hao
😘I love Tulip 🌷 flower. The flower will be there very shortly 🌷🌷🌷
😂😂😂😂😂😂umenikumbusha mbali. mapera yasome tu shughuli yake ukiyala mengi kule msalani si ndogoMwezi wa 4 niliyapata mengi sana kila siku linaiva moja baada ya jingine, basi nyumba nizma inanukia mapera
😃😃😃😃Mie nilikuwa naita watotoo nawapa, mengine nilitengeneza juisi😂😂😂😂😂😂umenikumbusha mbali. mapera yasome tu shughuli yake ukiyala mengi kule msalani si ndogo
😃😃😃😃Mie nilikuwa naita watotoo nawapa, mengine nilitengeneza juisi