Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Log in Activity angalia device zote ambazo akaunti yako ya Instagram ume log in kwenye insta yako ingia setting ya Instagram >> security >> log in Activity utaweza kuona kama kuna mtu yeyote anatumia akaunti yako pia unaweza ku log out
 
Your past Record Instagram wanakupa uwezo wa kupata record zote kamili ambazo toka akaunti yako imetengenezwa , password kubadilisha , account activities , Bio change na vinginezo. fanya hivi ingia setting >> security >> Download Data >> ingiza Email yako , Instagram watakutumia taarifa kamili kuhusu Akaunti yako.
 
Two - factor authentication Instagram wamekupa uwezo wa akaunti yako kuweza kuibiwa kizembe 😊 yani mtu hawezi kuchukua kirahisi rahisi. kwani kila akitaka kuingia kwenye akaunti yako kuna code unatumiwa kwenye line yako ndo uingie. kama una line huwez kuingia ila chonde chonde usipoteze line kama una uwezo wa kuirudisha jmn 😀 hutaweza kuipata. ingia setting kisha >> security >> Two- Factor authentication >> chagua text message hapo watakutumia code kwenye simu yako baada ya hapo utakua una log bila shida.
 
Tumia multiple photo on insta story unaweza kutumia layout feature kwenye insta kama unataka kutumia picha zaidi ya moja unaweza kutumia. fanya hivi gusa ingia insta story alafu gusa kwenye text area long place utaweza kupata neno clipboard option. hapo utaweza kuadd pic nyingi unazozitaka kwenye Instagram story 😊 yako ila hii inafanya kaZi kama una keyboard ya Gboard kupitia simu yako
 
Tumia multiple photo on insta story unaweza kutumia layout feature kwenye insta kama unataka kutumia picha zaidi ya moja unaweza kutumia. fanya hivi gusa ingia insta story alafu gusa kwenye text area long place utaweza kupata neno clipboard option. hapo utaweza kuadd pic nyingi unazozitaka kwenye Instagram story 😊 yako ila hii inafanya kaZi kama una keyboard ya Gboard kupitia simu yako
 
app Bora na nzuri ambazo huwezi kuzipata Play store 2021 tunaona app nyingi sana na salama ziko play store lakini sio kila app iliyopo play store ni nzuri kuna baadhi za app mbovu ziko huko kama wewe mpenz wa kudownload app nazani huwa unasoma comment za watu kabla ujaamua kununua au kupakua kitu play store. kama sio tabia yako jaribu kuwa na tabia hiyo 🤗 itakusaidia sana.
 
lakini kuna baadhi ya apps huwezi kuzikuta play store je sio bora hapana ziko apps nzuri na bora sana ambazo aziko play store ila ni salama kutumia tunaziita third party apps.
 
Viper4android App ni nzuri kwa wale wenye simu speaker zao azina sauti basi app hii kama 🤣 sabufa vile ni nzuri sana kwani inafanya speaker 🔊 yako kuwa na quality nzuri ya sauti na equalizer kupitia diaper kit ambayo itakusaidia sana kwenye kuongeza quality za sauti.
 
Aptoide hii ni moja kati ya app nzuri sana ya kuweza kupata app za bure na kuzilipia kupitia simu yako. kwani inakupa uwezo wa kutumia app bure kwenye simu yako. App zote utakazo ziona kwenye Aptoide ni bure huwezi kulipia.
 
Newpipe hii ni moja kati ya app bora san ambayo ni open source inakupa ruhusa ya kutumia YouTube bila kuwa mwenye akaunti 🤗. App huweza kukupa uwezo wa kupakua video na audio unazozitaka tena kwa speed kuiptia simu yako na kuhifadh kwenye kifaa chako
 
Mixplorer hii ni app nzuri sna ambayo huwezi kuipata paly store ila inapatikana google, ni file explorer apk ambayo itakusaidia kupanga content zako kwenye option ya kila namna. kuna app nyingi sana ambazo ni nzuri alafu secure ila haziko play store
 
Back
Top Bottom