Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dooh!
20200917_085757.jpg
 
vitu vingine ni kuwasumbua tu police.

Sisi alishawahi kupotea na nyumbani kwao hawatuelewi kabisa...wacha tusugue miguu kumtafuta mitaa na mitaa.
Heheh! Taarifa ni muhimu sana maana huko alipokwenda huwezi kujua atapata matatizo gani, pia lawama za ndugu kama hivyo. Sasa kama taarifa zipo sehemu ya usalama basi inasaidia usalama wako vile vile....

Hujambo lakini?
 
Back
Top Bottom