moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 123,564
- 681,469
Kwahiyo baadaye mlimuona?Kuna dada wa kazi alipotea bila kuaga basi kwenda police kutoa taarifa wakasema "kaendeleeni na mambo mengine huyo yupo sehemu salama"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo baadaye mlimuona?Kuna dada wa kazi alipotea bila kuaga basi kwenda police kutoa taarifa wakasema "kaendeleeni na mambo mengine huyo yupo sehemu salama"
Kumbuka ana miaka 17, angalau angefikisha 18.Mtu mzima namna hiyo anapoteaje?
Kwanza kwa jinsi tu alivyo inaonyesha hajapotea
Mpaka leo bado hatujamuona wala kumsikiaKwahiyo baadaye mlimuona?
kama kunamtu anajua ab's za chimbuko l hiyo nchi tafadhaliNetherlands View attachment 1572097
hatuiogopi hiyo miaka maana hatuwezi tukakutana na Yale mambo ya watu wasiojulikanaKumbuka ana miaka 17, angalau angefikisha 18.
Huyo ni mtoto, aliyempoteza ajiandae kuoga miaka 30 au maisha
Naachaje sasaInaanzaje sasa kula kwako tena?
Bado tu hujaacha kujiongeza mpaka unamwagikia?
Hahah! Yeye ndio hajapotea ila nyumbani kwao kapotea
vitu vingine ni kuwasumbua tu police.Kuna dada wa kazi alipotea bila kuaga basi kwenda police kutoa taarifa wakasema "kaendeleeni na mambo mengine huyo yupo sehemu salama"
Huyo atarudi mwenyewe nyumbaniKumbuka ana miaka 17, angalau angefikisha 18.
Huyo ni mtoto, aliyempoteza ajiandae kuoga miaka 30 au maisha
Andaeitini kwenye ubora wakoHuyo atarudi mwenyewe nyumbani
Watoto wa siku hizi miaka 17 vilishakua vimetuzidi hadi sisi dada zao wenye 25
Andaeitini kwenye ubora wako