Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,369
- 205,759
Vimewazidi nini?Huyo atarudi mwenyewe nyumbani
Watoto wa siku hizi miaka 17 vilishakua vimetuzidi hadi sisi dada zao wenye 25
Vimewazidi nini?Huyo atarudi mwenyewe nyumbani
Watoto wa siku hizi miaka 17 vilishakua vimetuzidi hadi sisi dada zao wenye 25
Vimewazidi nini?
Ngoja nikatafute mkasa wako huko
Niko poa dogoHeheh! Taarifa ni muhimu sana maana huko alipokwenda huwezi kujua atapata matatizo gani, pia lawama za ndugu kama hivyo. Sasa kama taarifa zipo sehemu ya usalama basi inasaidia usalama wako vile vile....
Hujambo lakini?
Maswali yanaulizwa nyuma ya pazia sio?Yes yes yoh
Raia zako zitaniua kwa maswali..hapa hadi Koo limenikauka
Ndio vimekuwa mapema, sasa ndio nauliza vimewazidi nini?
Huoni vimekua mapema kuliko sisi dada zao
Utaacha tu...
Mambo vipi lakini?
Nakosa muda wa kutosha maana mambo ni zingi mnoNiko poa dogo
Unapotea mno
Halafu Jana nilitaka nicheke yule jamaa nikajikaza tu nikaogopa kukuharibia mambo.Maswali yanaulizwa nyuma ya pazia sio?
Hahah! Eti kijana mpotevuMambo poa, Za kuadimika kijana mpotevu.?
๐๐๐๐๐๐๐๐ eti style mpya ya mgomo....mmi ninacho cha kwangu hapa,namsubiri kivuruge wangu anisogeleeeThe Happiness style mpya za migomo๐๐๐๐๐๐๐๐ yaan kikitokea chochote unajifunga zako kitambaa na kuanza kumbembelezwa presha isipandeView attachment 1572203
Utakufa kwa kutokulala we dogoNakosa muda wa kutosha maana mambo ni zingi mno
VyoteNdio vimekuwa mapema sasa ndio nauliza vimewazidi nini?
Cheiiii najipenda miee sijafunguka wagen wasije kunigunduaNgoja nikatafute mkasa wako huko
๐๐๐Halafu Jana nilitaka nicheke yule jamaa nikajikaza tu nikaogopa kukubaribia mambo.
Anauliza muda wote anasema Mbona tunachelewa kuanza
Mmh!Vyote
Hizo pigo hawezi kuzielewa labda ukate kucha zake atakuelewa๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ eti style mpya ya mgomo....mmi ninacho cha kwangu hapa,namsubiri kivuruge wangu anisogeleee
๐๐๐Cheiiii najipenda miee sijafunguka wagen wasije kunigundua
Dada zao hatuna ujasiri wa kupotea lakini wao wanapotea namna hiyoMmh!
Hizo pigo hawezi kuzielewa labda ukate kucha zake atakuelewa๐๐๐๐๐๐๐