moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 127,101
- 695,962
Salaam dadake, za kupotea
Kakaake salaam
Kakaake salaam
Muhimu kujimix kimtindo maana wanaogopa sana 😀😀
Muda mwingine na yeye anajichanganya na raia
OxygenWhat’s Free
Almasi?
Dictators' MO...
Text ikimaliza ...3 mins bila reply...
Hio ni baruaama namna gani wananzengo?
Jamani
Oxygen
Wow!!Finally you got the right Answer
_" Mhemiwa JamiiForum sikutegemea heshima hii toka kwako, mimi ni nani? Nimezaliwa kijiji cha vumbi, nimeishi maisha ya ufukara na baada ya kustaafu sikutegemea nitakuwa hapa lakini wewe na Mungu wako mnajua kwanini mmenitoa jalalani na nikawepo humu kwenye hii forum na kunifikisha hapa"