Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,124
- 201,143
Hahaha kwako mchambuzi
JfwoodWe una act za kibosi
Me na act broke
Wote tunaigiza
Kesi imeshapata mnunuzi...JF raha sana !!!Hii sio haki
Tulichat vizur PM na baadae tukahamia whatsapp hadi video call. Tukakubaliana nikakutumia nauli mpaka leo kutoka hapo maji matitu kuja hapa tabata unanizungusha Leo week ya nne. Tafadhali rudisha hela yangu la sivyo nitajitoa muhanga nianike chat zetu za PM hata nikipigwa ban najua nitarudi...www.jamiiforums.com
Kila la kheri.
Shule iko poa sana,kuelekea UE
Huyu mnunuzi hapotezagi fursa huyu!
InshaAllah amin.Kwema Carba ila tumemiss uwepo wako kwa muda mrefu humu, Mungu akufanyie wepesi mambo yako yapungue
@ningeeeeee
Kakaake salaam
Eddy Chumila si ndio aliye kufisadi ?Maendeleo ni mazuri mno . Kama unavyoona, niko tayari kutetea heshima ya ukoo liwalo na liwe....
Huo mfano wako wa "limdada na kitenge kimoja linakwenda kwa mangi kununua mkate" umenirudisha pale mtaani kwetu Njinjo. Kulikuwa na lijimama limoja pale la Kimanyema linaitwa Mama Fide lilikuwa funga kazi. Utafikiri ni yale ya kuchorwa na Marehemu Ndunguru kwenye gazeti la Sani. Lilikuwa limenizoea sana na ilikuwa kawaida asubuhi kwenda kulitegeshea ili tu kulifaudu likimeng'enyuka kwenda pale Bulyaga kununua supu. Nilikuwa nasingizia eti nakwenda kuangalia mazoezi kwenye kakiwanja kale ka mpira pembeni akina Edward Chumila na wenzake wakifanya mazoezi. Haya mambo ni magumu sana shemeji
🤣 kumbe umezijaribu!Kuna sredi niliona wakati wa Idd nadhani jamaa mmoja aliweka na watu walimshukuru sana. Kweli hapa sijaona shukrani japo vocha zimeshatumika...but again tenda wema uende zako
They don't know?Don’t think they know
Eddy Chumila si ndio aliye kufisadi ?
Mungu aendelee kukutendea yaliyo mema zaidi na zaidi.
Kuna wadada watatu wa Kimanyema nilipanga kwenye nyumba yao ile karibu na limti likubwa, jamaniiii !!! Vyupi vyao vya chandarua na kanga kavu lainiii wanakaa uani muda wote wakiwa nyumbani. ... Shwaini zake Osward (alikuwa idara ya Maji) aliniua mapema, jamaa yangu alikuwa anafundisha Jitegemee secondary akanishauri tuhame kuepuka makuu zaidi maana hata mama yao mzazi ilikuwa timu moja.
Hukumu niiogopayo kwa Mungu ni ya kutamani na kuto yatenda matamanio yangu. Mimi ni wa kusifia tu ila kwenye matendo ndio vilee
#nimeikumbukanjinjo#
#hofuyangunikwaningendakohiyomitaayasudani#
Nimejaribu moja ikakataa basi nikasitisha zoezi. Pengine sikuangalia namba sawa sawa...kumbe umezijaribu!
Kina Naniliu wamezipiga kimyakimya hata hawajamshukuru Prof.. wakati waliokuwa kwenye uzi kwa wakati ule wanajulikana