Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,173
- 1,077,272
Ilibidi nifokasi sana japo nimeishia kujidondoshea vimchuzi kwenye shati tena jeupe. Hovyo kabisa bro...Moja nimeishia kulifahamu jina. Linaitwa Rose...Hahah! Zingatia kwanza kula bro hayo madude yanachanganya sana akili
Kwani upo kanda yetu tayari au huko huko Ziwani?
Nipo Koromije bro...kitambo sana mbona?