IMG_2378.JPG

If you know you know
 
Kesi imeshapata mnunuzi...JF raha sana !!!

Screenshot_20190612-103827~2.jpeg
 
Maendeleo ni mazuri mno . Kama unavyoona, niko tayari kutetea heshima ya ukoo liwalo na liwe....

Huo mfano wako wa "limdada na kitenge kimoja linakwenda kwa mangi kununua mkate" umenirudisha pale mtaani kwetu Njinjo. Kulikuwa na lijimama limoja pale la Kimanyema linaitwa Mama Fide lilikuwa funga kazi. Utafikiri ni yale ya kuchorwa na Marehemu Ndunguru kwenye gazeti la Sani. Lilikuwa limenizoea sana na ilikuwa kawaida asubuhi kwenda kulitegeshea ili tu kulifaudu likimeng'enyuka kwenda pale Bulyaga kununua supu. Nilikuwa nasingizia eti nakwenda kuangalia mazoezi kwenye kakiwanja kale ka mpira pembeni akina Edward Chumila na wenzake wakifanya mazoezi. Haya mambo ni magumu sana shemeji
Eddy Chumila si ndio aliye kufisadi ?
Mungu aendelee kukutendea yaliyo mema zaidi na zaidi.

Kuna wadada watatu wa Kimanyema nilipanga kwenye nyumba yao ile karibu na limti likubwa, jamaniiii !!! Vyupi vyao vya chandarua na kanga kavu lainiii wanakaa uani muda wote wakiwa nyumbani. ... Shwaini zake Osward (alikuwa idara ya Maji) aliniua mapema, jamaa yangu alikuwa anafundisha Jitegemee secondary akanishauri tuhame kuepuka makuu zaidi maana hata mama yao mzazi ilikuwa timu moja.

Hukumu niiogopayo kwa Mungu ni ya kutamani na kuto yatenda matamanio yangu. Mimi ni wa kusifia tu ila kwenye matendo ndio vilee

#nimeikumbukanjinjo#
#hofuyangunikwaningendakohiyomitaayasudani#
 
Ni kama vile nawafahamu hao Wamanyema. Kabila hilo kwa misambwanda aisee ni hatari. Kuna wengine walikuwa pale karibu kabisa na Bulyaga nao walikuwa moto wa kuotea mbali kuanzia akina mama na mabinti zao. Ilikuwa ukizubaa wanakupiga boom lote aisee...Bahati mbaya gridi ya taifa ilipopita wee wengi waliteketea mbaya...

#Kutamaninakutendaniyaleyale
#ningendakoanahitajimaombi
#Tutaokolewakwaneema
 
915 Reactions
Reply
Back
Top Bottom