Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama haileti hela kwao haimake sense
Are you sure?
1819fc78bc97bbae1787f8fa763159d4.jpg
 
Eddy Chumila si ndio aliye kufisadi ?
Mungu aendelee kukutendea yaliyo mema zaidi na zaidi.

Kuna wadada watatu wa Kimanyema nilipanga kwenye nyumba yao ile karibu na limti likubwa, jamaniiii !!! Vyupi vyao vya chandarua na kanga kavu lainiii wanakaa uani muda wote wakiwa nyumbani. ... Shwaini zake Osward (alikuwa idara ya Maji) aliniua mapema, jamaa yangu alikuwa anafundisha Jitegemee secondary akanishauri tuhame kuepuka makuu zaidi maana hata mama yao mzazi ilikuwa timu moja.

Hukumu niiogopayo kwa Mungu ni ya kutamani na kuto yatenda matamanio yangu. Mimi ni wa kusifia tu ila kwenye matendo ndio vilee

#nimeikumbukanjinjo#
#hofuyangunikwaningendakohiyomitaayasudani#


That’s my buroo habari Ndugu yangu natumaini vijana wazima na mama yao
 
Ni kama vile nawafahamu hao Wamanyema. Kabila hilo kwa misambwanda aisee ni hatari. Kuna wengine walikuwa pale karibu kabisa na Bulyaga nao walikuwa moto wa kuotea mbali kuanzia akina mama na mabinti zao. Ilikuwa ukizubaa wanakupiga boom lote aisee...Bahati mbaya gridi ya taifa ilipopita wee wengi waliteketea mbaya...

#Kutamaninakutendaniyaleyale
#ningendakoanahitajimaombi
#Tutaokolewakwaneema

Nyie wazee mnanifurahisha sana Mungu awaweke zaidi Aisee
 
Aseee, uzi wa ajabu
 
Back
Top Bottom