Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,297
- 122,384
bro ukifanyiwa hvyo utataseka mwenyew,hutakuwa na aman hata kidogo,,yaan anakuacha unateseka mwenyew ww kutwa nzima uko na maswali mengi unajiuliza mbona hata hajamind,sijaitwa maneno mabovu mabovu,,,kumbe mwenzio amekusave tu,,,lazima ukonde,,,watu wa namna hii huwa hatari sana,maana hujui anafikiria nn juu yako...Naelewa sana bro. Hawa ndo wale anakufuma redi hendedi upo kifuani unapambana kutetea heshima ya ukoo halafu hazui valangati wala nini. Baada ya hapo hata akikupikia chakula inabidi uchepuke kwanza ukampe paka tonge la kwanza uone kama atasavaivu...