moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 126,791
- 694,786
Kasri la himaya ya Persian chini ya Mfalme Mohamed Shah Reza Pahlavi wa Irani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za Wakati huu broMy young bro in da hausi
View attachment 1020903
Habari njema sana bro. Chimboni kwako huko salama? Shemeji hajambo?Habari za Wakati huu bro
Maumivu ya Jehanamu ni makali. Imagine mtu unaungua hivi halafu hufi...Hakikisha huishii huko ohoooooo !!
View attachment 1020904
Misambwanda ndo tatizo mkuu dah !!!
Salama Bro Mungu anasaidia, sijui pande hizo, Yuko powa Sana anakusalimiaHabari njema sana bro. Chimboni kwako huko salama? Shemeji hajambo?
Mother nature and loveThere are two force's you could never fight in this world
Huku powa...Salama Bro Mungu anasaidia, sijui pande hizo, Yuko powa Sana anakusalimia
Game isiyo na time limit. Hata masaa manane wanaendelea tu. Mi nilijiondokea na nikasema sitarudi tenaBaseball
Wewe kukosa haiwezekani broHuku powa...
Kama nilivyosema kwenye mnuso usinisahau bro. Yaani nikisikia ushavuta kitu ndani kimya kimya nitakuwa disapointedi sana bro
. Tuombe uzima broWewe kukosa haiwezekani bro
Ni mtu muhimu sana. hili usijali kabisa bro
Afu ukawa unashangaa raia wengine bado wanahamu ya kuendelea kuangaliaGame isiyo na time limit. Hata masaa manane wanaendelea tu. Mi nilijiondokea na nikasema sitarudi tena