Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20190212-WA0021~2.jpeg
 
Hakika consuela anafaa kuwa alicia keys,,,huwa hana maneno mengi,,juzi kati kasema anaweza kukutia iginoo listi na usiamini
Nikitiwa iginoa listi na binti mpole kama consuela aisee nahama JF mazima kwenda kufanya soul searching na kutathmini baadhi ya misimamo yangu kuhusu maisha, maingiliano na watu na utani...
 
Ariana hakuwepo,ila aliondoka na tunzo moja,,,sema kutokuwepo kwake labda alijistukia maana wazaz wa Miller walikuwepo,na toka jamaa afariki tuhuma nying anapewa Ariana..
Yeah! Anasingizia eti alikuwa na mzozo kuhusu wimbo aliotakiwa kuupiga siku hiyo. Inaonekana marehemu alimpenda sana huyu binti na alipomtema ndiyo ikawa downhill. Alikuwa kwenye show ya Ridiculousness kabla ya kufariki alisema kuwa anammisi sana Ariana. Ila wenzetu hawa akishakutema hata uombe msamaha namna gani kama huko aliko anapigwa mjurubeng wa kuridhisha basi hakuna kitu. Wanaweza kuwa wakatili sana. Sasa ni majuto !!!
 
bro bhana,hawa mabinti wapole ni kwenda nao polepole,unaweza pewa iginolist ya kimya kimya
Naelewa sana bro. Hawa ndo wale anakufuma redi hendedi upo kifuani unapambana kutetea heshima ya ukoo halafu hazui valangati wala nini. Baada ya hapo hata akikupikia chakula inabidi uchepuke kwanza ukampe paka tonge la kwanza uone kama atasavaivu...
 
Yeah! Anasingizia eti alikuwa na mzozo kuhusu wimbo aliotakiwa kuupiga siku hiyo. Inaonekana marehemu alimpenda sana huyu binti na alipomtema ndiyo ikawa downhill. Alikuwa kwenye show ya Ridiculousness kabla ya kufariki alisema kuwa anammisi sana Ariana. Ila wenzetu hawa akishakutema hata uombe msamaha namna gani kama huko aliko anapigwa mjurubeng wa kuridhisha basi hakuna kitu. Wanaweza kuwa wakatili sana. Sasa ni majuto !!!
kwa hiyo bro ni bora hawa hawa rangi zetu,ambao tunajuana na kusomana matendo yetu A-Z,,ukipigwa kibuti unajua urud na style gani ili msuruhishe na muanze upya tena.

Hii pia ni shida,Miller alikuwa amezimika mzima mzima kabsa,jamaa aliferi kwa hilo..
 
Back
Top Bottom