Uzi kwa ajili ya kupeana ujuzi jinsi ya kujipatia kipato kila siku

Dec 20, 2016
98
109
Kwema wana jukwaa mko njema
Mimi,ni muhanga wa kukosa ajira nakuja mbele yenu kupewa muongozo kwa wajuzi wa mtaani
Ni jinsi gani mbinu,gan wanatumia kupata riziki ya kila siku na kutimiza majukumu mbalimbali kama chakula kodi na mambo mengine
Nahitaji connection ya mchongo wowote niko dsm
Contact 0745000157
 
Habari wapendwa katika Bwana. Mimi ni kijana nlomaliza chuo natafuta ajira. Nimesomea diploma ya udaktari nipo dsm mwenye sehemu yoyote hospital, dispensary au chuo chochote cha afya naomba mnijuze niweze pata connection ya kazi. Cm 0712056776 asanteni
 
Kwema wana jukwaa mko njema
Mimi,ni muhanga wa kukosa ajira nakuja mbele yenu kupewa muongozo kwa wajuzi wa mtaani
Ni jinsi gani mbinu,gan wanatumia kupata riziki ya kila siku na kutimiza majukumu mbalimbali kama chakula kodi na mambo mengine
Nahitaji connection ya mchongo wowote niko dsm
Contact 0745000157
Una UJUZI gani, na upo dar sehemu gani
 
Back
Top Bottom