Pain 01
Member
- Jan 16, 2022
- 64
- 62
Habari zeni wakuu, kwa heshima na taadhima nmeona nilete jambo langu hapa. kwa maana katika harakati za msoto wa kila siku nmeona ni vyema kuleta jambo langu aidha naweza kupata idea ama kupata fursa yeyote kwani niko tayari kujifunza
So ladies and Gents
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23
Bado naganga ganga kimaisha, nina ramani wapi nahitaji kufika lakn kutokana na changamoto za kipato(kifedha) ambazo wengi nafaham mnapitia najihisi kuwa nimekwama, hivyo basi naombeni ushauri ama msaada hata wa kibarua kwa namna yeyote mtu anaweza kunisaidia.
Nimekuwa nikijitahidi kutafuta fursa za kazi(vibarua), lakini naona kama nimekwama na kutokana na hali ngumu ya kimaisha katika masuala ya kujitafutia kipato nahisi kuwa tayar nimepotea...
Kama kijana, nataka kusikia kutoka kwa wenzangu jinsi walivyofanikiwa kutoka kwenye hali ngumu yeyote ile kwenye maisha na kupata fursa za kazi zisizohitaji ujuzi maalum ama kuweza kujitegemea tu. Hapa nipo kujifunza na kushirikiana na wenzangu kubadilishana mawazo na uzoefu.
Ninapo zungumgia kazi zisizo rasmi namaanisha kazi zisizo nihitaji kuwa na shahada, kwa maana binafsi nmeishia kidato cha sita na nna cheti pia lakin pia nmeshindwa kuendelea kwa sababu za kifedha....
Kwa yeyote ambaye umewahi kukutana na hali ngumu ya kutafuta kazi zisizohitaji ujuzi maalum?ama kujikwamua kinamna yeyote ile, Unaweza kushiriki uzoefu wako na namna gani naweza kupata link kwenye kazi hizo. Yenye kipato atleast 10,000/= per day
Ni njia gani za kuongeza uwezekano wa kupata kazi hizi zisizohitaji ujuzi maalum...
Je, kuna rasilimali gani nchini kwetu hapa Tanzania za kusaidia katika kutafuta fursa za kazi kama hizo?
Mwisho kabsa napenda kuwashkuru kusoma andiko langu wakubwa na PM yangu iko wazi.