yapo igunga kwa mantiki yake nyie mumuhulize kuwa alimaanisha ninikilaza wetu maarufu baada ya kutua igunga amedanganya wananchi wa igunga eti macho ya dunia yako igunga
macho ya dunia ipi kama uchaguzi mkuu wa rais dunia haina habari
Kwenye siasa kila mmoja anaruhusiwa kuongea lake.
Mtoto wa Nyoka ni Nyoka!.
Kumbe nae ni mropokaji kama baba yake?
kilaza wetu maarufu baada ya kutua igunga amedanganya wananchi wa igunga eti macho ya dunia yako igunga
macho ya dunia ipi kama uchaguzi mkuu wa rais dunia haina habari
kwani mmesahau kuwa niyeye aliyeenda na helcopter magamba ndiyo anataka dunia ya wajinga kama yeye wamuangalie na wajue kam yupo.Dunia nzima ipi? Na hii 'dunia nzima' inaangalia Igunga kwa nini? Kuna nini hasa cha kuifanya dunia 'nzima' iangalie Igunga? au ina maslahi gani na Igunga? In his right mind January Makama anataka watu wa Igunga wafanye nini ili kukidhi haja ya 'dunia nzima?
Madalali utawajuwa tu!
Kumbe nae ni mropokaji kama baba yake?