Elections 2010 Uwongo wa January Makamba huko Igunga

kilaza wetu maarufu baada ya kutua igunga amedanganya wananchi wa igunga eti macho ya dunia yako igunga
macho ya dunia ipi kama uchaguzi mkuu wa rais dunia haina habari
yapo igunga kwa mantiki yake nyie mumuhulize kuwa alimaanisha nini
kwa kuwasaidia tu macho ya dunia yapo igunga kwa sababu rostam aliachia ngazi kwa kujivua gamaba na uchaguzi unaofuata wanataka kujionea kama ccm itang'olewa au lah/na nbikitu ambacho hakiwezekani mizizi ya ccm imekwenda mbali sanaa
 
Kwenye siasa kila mmoja anaruhusiwa kuongea lake.

Mkuu kuongelea ujinga bila kusema matatizi ya mwanachi wa eneo husika ? Mbona wenzetu wanaofanyah siasa na kuleta kidi zao Tanzania kuisaidia Nchi yetu hawafanyi siasa za kijinga hivi ?
 
Like father like sonl wote wanatumia masaburi katika kufikiri anendeleza siasa uchwara za baba yake
 
Nilijua kuwa kijana ni kilaza nilipomwona kwenye TV anaonesha picha ya gazeti huku akilalama mpaka anataka kulia kuwa CDM imemdhalilisha DC wa Igunga!
 
kwenye ile hotuba ya Lowasa ya maamuzi magumu,,, alitumia sana kauli ya"dunia nzima inajua" huenda nae alikua anajaribu kukopi na kupesti.
 
Akali nyingine ya kisiasa kama ya makamba sr imewadia........hatuna mtu hapo.............ccm ndo walewale wa jamii ya rostam, rage,nape........................yaani unafiki unafiki tu.....fitinafitina tuuuu.............tuwakatae..........
Makamba...tangu lini simba akazaa kondoo?
 
Kumbe nae ni mropokaji kama baba yake?

Mtoto wa nyoka ni nyoka tena wakati mwingine mbaya destructive kuliko baba yake!!!!!. Niliona akieleza upupu baada ya kushuka kwenye lifti ya helkopta ya magamba. mimi binafsi sijui kwa nini CCM inawapotezea wabunge wake muda kwenda kuuza sura Igunga huku wakijua hawana jipya.
 
Kumbe kasoma Galanos, duh!! Ee bwana ile shule ilikuwa juu sana hata mie nimepita pale. Kama mtu anaweza kupata Zero pale basi ujue kwishney!!! Yaani hata malaika angekuja kumshika mkono bado ni kilaza tuu
 
huyo magamba na mzimu wa symbions eti dhararu kumbe dharura yao iko miguu juu kichwa chini!pamoja na kelele zake mitambo iwashwe baada ya bahasha kubwa!hamna mtu hapo ni kutojua mambo tu kwa watanzania walio wengi!!
 
kilaza wetu maarufu baada ya kutua igunga amedanganya wananchi wa igunga eti macho ya dunia yako igunga
macho ya dunia ipi kama uchaguzi mkuu wa rais dunia haina habari

Anafikiri watanzania wa sasa wamepewa masikio ya kusikiliza ujinga wake, aenda kuwadanga wale waliomchagua ndiyo watamwelewa. Sisi tunachuja mambo.
 
CCM wametoa afadhali wameingiza potelea mbali. Chadema ni kisiki cha mpingo wenye shoka akina yusuph makamba wameshindwa january anakuja na panga ndio kutafuta aibu kama vile. unathubutu ktudanganya hapa igunga, ccm wakajipange upya
 
kaka kinyungu kwani wewe hujui kuwa mtoto wa nyoka ni nyoka na jasili huwa haachi hasiliyae hv ulitegema nini kutoka kwa huyo kilaza.
 
Dunia nzima ipi? Na hii 'dunia nzima' inaangalia Igunga kwa nini? Kuna nini hasa cha kuifanya dunia 'nzima' iangalie Igunga? au ina maslahi gani na Igunga? In his right mind January Makama anataka watu wa Igunga wafanye nini ili kukidhi haja ya 'dunia nzima?

Madalali utawajuwa tu!
kwani mmesahau kuwa niyeye aliyeenda na helcopter magamba ndiyo anataka dunia ya wajinga kama yeye wamuangalie na wajue kam yupo.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom