Labda inaweka siksi paki....
😀😀😀 sure mkuubwa huyo dada alikamatika
Labda inaweka siksi paki....
haya.....kwa hata mimi sura baya nitang'aa.....?[/QUOT
Ngozi itang'aa kama mtoto mchanga. Piga basi halafu unitumie nione kama imeng'aa. Kama bado nikuonyeshe cha kufanya.
Aisee kuna hii apllication kwenye simu za android inaitwa camera 360 inatudanganya saana kwenye mitandao ya jamii hususani instagram ... Na whatsapp ..mtu anaweka picha anang'aa vibaya mno ..lakini njoo kutana nae sasa ..vitu viwili tofauti ..
Its better to be really .. Tutakimbiana kwenye issue ya appointment .
Ni ushauri tu .v
ipo application nyingine inaitwa kirobapp yaani kikongwe cha miaka mia unakiona kama ki tineja
Kuna app ya camera moja kwenye lumia inaitwa nokia glam me, ni balaa. Mtu bonge inakufanya uwe mwembamba kama miss
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
hahh we kweli muuza ngisugiiKuna moja inaitwa PambApp, hata kama umevaa taulo unaonekana umekula gucci au fendi suit
mkuu umemaliza afu ukiweka kwenye frame ya burudaniaapp ndo balaaaipo application nyingine inaitwa kirobapp yaani kikongwe cha miaka mia unakiona kama ki tineja
mkuu mambo mengine chukulia poa 2 kama ajakuvutia mwambia uko tofauti camera ilinidanganya byeAisee kuna hii apllication kwenye simu za android inaitwa camera 360 inatudanganya saana kwenye mitandao ya jamii hususani instagram ... Na whatsapp ..mtu anaweka picha anang'aa vibaya mno ..lakini njoo kutana nae sasa ..vitu viwili tofauti ..
Its better to be really .. Tutakimbiana kwenye issue ya appointment .
Ni ushauri tu .v