ipo application nyingine inaitwa kirobapp yaani kikongwe cha miaka mia unakiona kama ki tineja
Inabidi wanateknolojia wa invent 360 glasses....yani miwani zenye effects kuendana na hizo kamera. Siku unaenda fanya hiyo date unavaa miwani yako hapo mtakuwa mnaenda sawa.
Sasa we huitaki au?
mwee nimeiona kwa my wife hiyoo, ngoja nivizie kisimu chake naifutulia mbali isije ikawa anajifotoa kuwavutia vidume wengine nje huko 😛hoto:😕:A S 13:
sawa na WIGI anavaa mwanamke unasema loo leo nimeopoa kimwana ukifika naye sehemu likidondoka wakati anavua suruali yake ya taiti utadhani mtu mwingine kaingia
Ni kweli wengi wana sura za Michael Jackson.kweli kabisa tena kuna zile wanashonea ndani ya nywele zao wanaunganisha .. yaani huwezi kugundua .. wanawake wengi mjini ni artficial .. hawa kuwagundua mpaka wakutane na sekeke ya kulala polisi asubuhi uende ukamsalimie ..utafurahi ..
wametoa kitufe cha like.ipo application nyingine inaitwa kirobapp yaani kikongwe cha miaka mia unakiona kama ki tineja
Bujibuji unayo hiyo app wewe?ipo application nyingine inaitwa kirobapp yaani kikongwe cha miaka mia unakiona kama ki tineja
aiasee acha tu ..@ tinna
ipo application nyingine inaitwa kirobapp yaani kikongwe cha miaka mia unakiona kama ki tineja
kwa hata mimi sura baya nitang'aa.....?[/QUOT
Ngozi itang'aa kama mtoto mchanga. Piga basi halafu unitumie nione kama imeng'aa. Kama bado nikuonyeshe cha kufanya.